nsharighe
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 1,439
- 2,211
Wakuu, Salaam.
Niende moja kwa moja katika mada. Mimi ndugu yenu nina tatizo la kuwa na hofu katika kila jambo ninalofanya na hili tatizo linapelekea kushindwa kufanya kwa ufanisi jambo lolote lililo mbele yangu.
Kipindi nikiwa Nasoma A Level mpaka Chuo nilikua nashindwa hata kufanya presentation na ikitokea nimefanya basi jasho la kutosha litanimwagika na mapigo ya moyo kwenda kasi.
Katika maisha ya mahusiano Hofu inanipelekea kushindwa hata kutongoza wanawake na nikifanikiwa kumpata siku ya kuwa nae faragha basi hofu inanitawala mpaka kupelekea kushindwa kufanya tendo kwa ufanisi.
Tafadhali naomba msaada katika hili.
Natanguliza Shukrani za dhati.