Search results

  1. Y

    Jamani watu wa kiswahili nisaidieni,hii mbona ngumu?

    Naomba nijaribu hapo VIYEYUSHO ni KONSONANTI ambazo zinazotamkwa kama IRABU. katika kiswahili kuna aina mbili za VIYEYUSHO navyo ni: "W" na "Y" vipashio hivi viwili katika kutamka huweza kutamkwa kama IRABU. Kipashio "W" hutamka kama IRABU "U" Mfano: "Wanacheza" inatamkwa "Uanacheza"...
  2. Y

    Meno yangu jamani!

    Kwakweli ni muda mrefu tangu meno yangu yaharibike(hayajaoza bali yametengeneza utandu kati ya fizi na meno) na sio siri yananikosesha amani ninapokuwa na watu wangu wa karibu. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kama meno haya yanaweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kuwa safi kama...
  3. Y

    Je ni kweli kuwa Mayai........??

    Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na upele usoni. Je hili ni la kweli? Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  4. Y

    Model maarufu nchini apiga picha za X

    mbona mi silioni hilo jukwaa la wakubwa? Msaada tafadhali
  5. Y

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    The future is dark, only bright brain will survive
  6. Y

    Nenda sambamba na Masharobaro ...Slangs

    Wa kike wanaitwa masherabera yaan hawa ndio balaa utakuta eti wanajifanya hawamaliz kinywaji halaf wakifika makwao wanajutia bora wasingebakisha kund hili wapo wengi hadi wengine hawajui kama wao ni masherabera. Je wewe haupo hapa??
  7. Y

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Kuanzia mwingira, kakobe hadi babu ambilikile mwasapile wote ni wa2mishi wa shetani ,,,!!
  8. Y

    Bainisha na ainisha

    Mmh! Kidogo nimeelewa ila sana nimechanganyikiwa
  9. Y

    Bainisha na ainisha

    Habari zenu wakuu? Leo nimekuja na hili ninashida ya kutofautisha maneno haya BAINISHA na AINISHA. Mfano: Bainisha na ainisha maneno yafuatayo 1. Anakikimbia 2.Anakula Naombeni msaada wenu jamani.
  10. Y

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    serikali ina siri kali kwa sababu neno lenyewe "serikali" linatokana na neno "sirikali" hivyo ni lazima kuwe na siri kwenye serikali.
  11. Y

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    serikali ina siri kali kwa sababu neno lenyewe "serikali" linatokana na neno "sirikali" hivyo ni lazima kuwe na siri kwenye serikali.
  12. Y

    Chemsha bongo

    Habari zenu wanaJF Leo nimekuja na swali tujadiliane NI KITU GANI AMBACHO KILA MWANADAMU ANAKIOGOPA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU HAPA DUNIANI? Kwa sababu nimeambiwa kunakitu ambacho kila mwanadamu anakiogopa. Tujadiliane
  13. Y

    Naombeni msaada jamani

    Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie hatua za kufuata kabla ya kutuma maombi unapotaka kuendesha kazi mradi (project) ni kwa kiwango cha A-level
  14. Y

    Haya maneno yananichanganya

    Ni SUFURI sio SIFURI
  15. Y

    wanafunzi lini tutaacha tabia ya "zimamoto"

    Mmmhh Sijui!!! hata mie nahisi umenigusa ila kwa mimi nahisi ninamambo mengi ninayotingwa nayo sijui kwa wanaokaa bure
  16. Y

    Herufi 'A' na mikoa TZ. Whyyyyy?

    Wana JF kama kunamtu yeyote anaefahamu lolote kuhusiana na mikoa mingi ya Tanzania bara kuishia na herufi 'A' na sio herufi nyingine. Mfano mikoa isiyoishia na herufi 'A' ni kama LINDI, MOROGORO, KILIMANJARO, DAR ES SALAAM na PWANI (mikoa mipya haijahusishwa) lakini yote iliyobaki inaishia na...
  17. Y

    Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

    Ahsante msekwa kwa maelezo yako mazuri mimi sio mnafik wala sina uchama hapa ukweli kwa upande wangu umefanya kitu ulichoitiwa
  18. Y

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Ahsante mama D yaan leo nimeingiza pesa bila kutarajia kwa kutoa matokeo kwa wa2 kupitia web uliyoitoa thanx mom
  19. Y

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Nimejaribu lakin nimeshindwa kufungua sijui kwa sababu naangalia kupitia simu duh!!
  20. Y

    Upotoshwaji Kuhusu ya Mahakama za Kadhi

    acha unafiki unauhakika kuwa JK anahucka kwa lolote kuhusu mahakama ya kadhi? Ongea na facts
Back
Top Bottom