Herufi 'A' na mikoa TZ. Whyyyyy?

Yusuph Salehe

Member
Nov 12, 2010
58
1
Wana JF kama kunamtu yeyote anaefahamu lolote kuhusiana na mikoa mingi ya Tanzania bara kuishia na herufi 'A' na sio herufi nyingine. Mfano mikoa isiyoishia na herufi 'A' ni kama LINDI, MOROGORO, KILIMANJARO, DAR ES SALAAM na PWANI (mikoa mipya haijahusishwa) lakini yote iliyobaki inaishia na 'A'. Kwa mwenye kujua atueleze au unahisi ni kwa nini?
 
wewe ndio utuambie unahisi nini ...sisi tutahisije kitu unachohisi
 
Nadhani lugha ya kiswahili / kibantu maneno mengi yanaishia na A.., Think about it hata kwenye hii sentensi yangu am sure A ndio nyingi...
Sina uhakika Just Thinking
 
Mwl nyerere alikuwa mshairi,mkali wa vina na mizani! Natania mjomba.
 
majina ya mabara yote, herufi ya mwanzo inafanana pia na herufi ya mwisho
Africa, America, europe, Asia, Australia
 
Mwl nyerere alikuwa mshairi,mkali wa vina na mizani! Natania mjomba.

Yeye mwenyewe aliikuta hiyo mikoa Kigoma, Mwanza, Dodoma, Ruvuma, Iringa, Tanga, Mbeya, Mtwara, Singida in fact kazaliwa tayari hizo sehemu zina majina tayari yaani Nyerere mnadhani aliishi karne ya 14 vile?????
 
majina ya mabara yote, herufi ya mwanzo inafanana pia na herufi ya mwisho
Africa, America, europe, Asia, Australia

Hongera kwa huo utafiti ndugu yetu,ckjua kama Europe inaanza na kuishia na e. Anyway hii issue ni majina na yalitokea katika hali ya arbitrariness hakukuwa na mpango wowote...umeona eeh!
 
Back
Top Bottom