Chemsha bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yusuph Salehe, Feb 3, 2011.

 1. Y

  Yusuph Salehe Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wanaJF Leo nimekuja na swali tujadiliane NI KITU GANI AMBACHO KILA MWANADAMU ANAKIOGOPA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU HAPA DUNIANI? Kwa sababu nimeambiwa kunakitu ambacho kila mwanadamu anakiogopa.
  Tujadiliane
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  If you have Jesus Christ, there is none to fear.
   
 3. B

  Baruhongerachi Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna vitu vingi si kimoja tu,ila KIFO ndio hofu kuu. Pamoja na hiyo uoga wa kutokuwa na mali/utajiri hasa kwa vijana upo,hofu ya kukataliwa na kuhisi huthaminiki vipo pia. Lakini usiogope-unamwamini Mungu? Then hakuna kuogopa.
   
Loading...