Je ni kweli kuwa Mayai........?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli kuwa Mayai........??

Discussion in 'JF Doctor' started by Yusuph Salehe, May 1, 2011.

 1. Y

  Yusuph Salehe Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu? Naomba msaada au udhibitisho wa kisayansi kama MAYAI yanaweza kutoa chunusi usoni kwa sababu nasikia tu juu juu kuwa MAYAI yanauwezo wa kutibu magonjwa ya ngozi kama chunusi na upele usoni. Je hili ni la kweli?
  Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
 2. N

  Nancy70 Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sina hakika ya mayai mi najua matango (cucumber)....unachuja maji na kupaka na mayai ni kwa nywele.
   
Loading...