Umetuyeyusha aisee!
More pictures to follow but kuleee kwenye jukwaa la wakubwa maana hazifai kuweka hapa..
hilo ndiyo swali la msingi,umeisha weka kwenye jukwaa la wakubwa ????????
za kawaida sana!!
hilo ndiyo swali la msingi,
M-pm invisible akupe ruhusa ya kuliona na kuingia jukwaa la wakubwa...mbona mi silioni hilo jukwaa la wakubwa? Msaada tafadhali
Naungana na wewe...ila tunahitaji list ya watu maarufu bongo!!!Maarufu huko mtaani kwenu mbona hata hajulikani au unataka kumpa umaarufu?
Hivi hilo jukwaa la wakubwa liko wapi na mimi nikachungulie huko?umeisha weka kwenye jukwaa la wakubwa ????????