Haya maneno yananichanganya

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Gunia au Junia
Sifuri au Sufuri
Maharage au Maharagwe
Redia au Radio
Sekondori au sekendari.
Sufuria au Sifiria
 
Gunia au Junia
Sifuri au Sufuri
Maharage au Maharagwe
Redia au Radio
Sekondori au sekendari.
Sufuria au Sifiria

Mweee..? Madhara ya lugha ya mama katika matamshi ya maneno. Ila tusubiri wataalamu (au wataaluma?)

Ila kwenye 'redio' pale pamefanyika utohoaji kwa hiyo 'redia' si sahihi hata kidogo. Hii ni sawa na 'secondary' imetoholewa hivyo itaandikwa kama inavyotamkwa 'sekondari' na sio 'sekondori' au 'sekendari' (hii ya mwisho naona kama inakujakuja hivi!)
 
Ni makosa tu ya kimatamshi kwa sababu za kigeografia kwa anayetamka ama mwembwe za makusudi kimatamshi!
 
Kaka/Mkaka
Dada/Mdada
Kitu kidogo/Tukitu tudogotudogo
Nchi hii/N'nji hii
Vuta/Furuta
Sogeza/Songesha
Uoroda/Urada
 
Hii inatokana na kuathiriwa kwa lugha mama ndio maana utakuta mwingine anasema
selasini badala ya thelasini
fiatu badala ya viatu ila na dhani gulta amekujibu vizuri
 
Back
Top Bottom