Search results

  1. Kakole

    Wake za watu kudanga waume zao wamekosea wapi?

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, sijajua shida iko wapi na wanakosa nini na kwanini hawaridhiki na maisha na uwezo walionayo yeye na mwenzie[mume wake]
  2. Kakole

    Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    Hakika nahesabu kama ni hasara sana kwangu maana kila ninapomtokea demu kadri tunapoendelea kufahamiana kumbe nagundua ni bonge la tegemezi japokuwa wengine huonekana kuwa wagharama sana kwa muonekano lakini baada ya muda naanza kupigwa mizinga wakati mwingine hata kabla ya kutangaza nia sasa...
  3. Kakole

    Wanawake wenye sura nzuri sio watamu

    Nishatafuna wengi idadi hata sikumbuki lkn sijui kwanini wanakuwa na kasoro mbalimbali. sijajua ni expectation zangu zilikuwa juu kuwa pengine uzuri ungeendana na utamu, yaani papuchi hazina test kabisa. sina picha kwa wale watakaotaka picha. pambana na hali yako
  4. Kakole

    Nini kingine cha kuhofia endapo mmepima H.I.V na majibu yakawa negative?

    Heri ya pasaka Ladies & Gentlemen Hivi endapo umempata mpenz na mkaamua kupima ili uweze kula kitu MUBASHARA, nini kingine cha kuhofia? au baada ya kupima na mkakutwa wote mpo safi unaweza kwenda kujilia vituz? au usubirie tena mpaka baada ya miezi 3 km inavyoshauriwa na watalaam? Weka maoni...
  5. Kakole

    Maneno makali ya kukatisha tamaa ulioambiwa ulipomtongoza

    Hello friends. Natumai mko poa sana mnaenjoy w'end tulivu. Kwa wanaume wenzangu au hata wanawake kama umewahi kutongoza lakini, tushirikishane kama kichwa cha mada kinavyoelekeza. Binafsi nilipomtongoza akaniambia ananiheshimu tu la sivyo angenitukana tusi kubwa sana, ilinifanya nikawa muoga wa...
  6. Kakole

    UKUTA - Tuungane na Jeshi letu kesho kufanya usafi.

    Kwa namna huu UKUTA ulivogubikwa na vikwazo vya kila aina mimi nishauri tu kuwa ni wakati muafaka sasa wanaukawa tukaungana na jeshi letu ktk maazimisho yao ya miaka 52 kufanya usafi, hii itasaidi kujenga na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya wananchi na jeshi lao. Ni ushauri tu wandugu na...
  7. Kakole

    Picha kibao mitandaoni nini maana yake?

    Wandugu, Acha nitoe yangu ya moyoni hapa kama kuna mtu atakereka basi aniwiye radhi, kuna issue huwa inanikera kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile FB, hivi nini maana yake kutwa mtu kutuma mipicha yako hata kwa matukio ambayo hayana mashiko? Huwa kwakweli nawachukulia tofauti watu...
  8. Kakole

    Siku hazifanani

    Habari za w'end wakuu, Watu wengi wanaponda kweli mtu kuwanza mapenzi tuuuu....pasipo kuwanza mambo ya maendeleo lakini ni jambo lisilopingika kuwa siku hazifanani na wala sio kila wakati unawanza maendeleo tu, kwakweli nahisi leo akili yangu inawaza kugegeda tu. W'end wapi wakuu, nipeni...
  9. Kakole

    Hii imekaaje wakuu

    Akili ya midume kabla ya kuoa, Mke asipomjali na kumpenda mama yangu kwakweli itabidi tu tuachane, yaani mama yangu alivyonihangaikia kwakweli sitaki mtu wa kumnyanyasa kabisa, ikitokea nikaoa mwanamke asiyempenda na kumjali mama yangu basi hata mimi hawezi kunipenda na kunijali pia, mama ndio...
  10. Kakole

    Heshima pesa shikamoo makelele

    Niaje wakuu!! Hii ni kwa wanaume Ule usemi wa mjini heshima pesa shikamoo makelele. mimi naukubali sana huu usemi sio siri, ukitaka kudhaminiwa kuwa na hela, otherwise utabaki kulaumu watu ooooh! siku hizi flani hanijali, ooooh demu wangu kaniacha/kanisaliti, tafuta pesa kwa nguvu zako zote...
  11. Kakole

    Siwezi kusahau nguvu ya hii pesa $(U.S. D)

    Ilikuwa mwaka 2009 miaka 7 iliyopita kipindi hicho nikiwa naishi kwenye jiji letu la raha Dar town, nilikuwa na jamaa yangu ambaye tulipata kufahamiana vzr na kuunda urafiki wa kiaina kwa sababu nilikuwa mteja wake mzuri wa biashara yake. Sasa siku moja nikiwa nimetoka job nikiwa nimejichokea...
  12. Kakole

    Epuka kuachana vibaya na x-boy/girl friend wako

    Natumai wote mu wazima wa afya njema, Namshukuru sana Mungu kwa hekima ilikuwa mwaka 2008 mwanzoni nilipoachana na g'friend wangu ambae kwakweli nilimpenda sana kiasi kwamba najiulizaga ingekuwaje kama tungefanikiwa kuoana maana nanzani angeweza hata kunifanya mume bwege kama endapo tungeoana...
  13. Kakole

    Yako wapi yale majina mazuri kabla ya ndoa

    Good evening ladies and gentlemen, Natumai nyote mko poa kabisa mnaenjoy w'end, siku ya jumamosi au w'end bwana ni nzuri sana maana wale wazee wenzangu wa kerorooo......najua sasahivi wao ndio kwanza kumekucha. Wakuu bila kuwapotezea mda wenu, nilikuwa natafakuri na wadau wenzangu niliokuwa...
  14. Kakole

    Ni nzuri sana kwa wapendanao

    Habari za leo wadau, Kuna movie ijulikanayo kwa jina la 'Why did I get married too' ni nzuri sana, kwa wale ambao hamjabahati kuiona tafuteni muicheki, kwakweli ni nzuri sana inafundisha Nawasilisha.
  15. Kakole

    Hivi hata kuchat na mwanamke siku hizi ni mpaka utoe takrima?

    Happy new year to all. natumai wote mko fresh na mmeanza mwaka vyema, tushaingia mwenzi mgumu wa January watu tumeenjoy sikukuu zote sasa vichwa vishaanza kuuma ada za shule na mambo mengine kibao. anyway bila kuwapotezea mda, kulingana na kichwa cha habari hapo juu, nashindwa kuelewa nini...
  16. Kakole

    Naombeni mnipokee wandugu

    Naomba mnipokee na kunipa ushirikiano wa kutosha wakuu, nilikuwa intruder for longtime lkn pasipo kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua mwenyewe kujisajili na kuwa member kamili Naombeni ushirikiano wenu.
  17. Kakole

    Wadau nipokeeni

    Mimi ni mgeni humu, nipeni ushirikiano wandugu.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Back
Top Bottom