Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,751
Hakika nahesabu kama ni hasara sana kwangu maana kila ninapomtokea demu kadri tunapoendelea kufahamiana kumbe nagundua ni bonge la tegemezi japokuwa wengine huonekana kuwa wagharama sana kwa muonekano lakini baada ya muda naanza kupigwa mizinga wakati mwingine hata kabla ya kutangaza nia sasa huwa najiuliza hawa working class nani anatafuna?
uchumi umebana sana kupigwa mizinga ya kirejareja isiyokuwa na formula.
uchumi umebana sana kupigwa mizinga ya kirejareja isiyokuwa na formula.