Nini kingine cha kuhofia endapo mmepima H.I.V na majibu yakawa negative?

Kakole

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,094
1,745
Heri ya pasaka Ladies & Gentlemen

Hivi endapo umempata mpenz na mkaamua kupima ili uweze kula kitu MUBASHARA, nini kingine cha kuhofia? au baada ya kupima na mkakutwa wote mpo safi unaweza kwenda kujilia vituz? au usubirie tena mpaka baada ya miezi 3 km inavyoshauriwa na watalaam?

Weka maoni yako pls.
 
Ni bora utumie condom maana mnaweza kuwa wote au mmoja kuwa kwenye window period( kipindi cha mpito) pia kuna hepatitis B hivyo kupima Mara moja sio tiketi ya kupiga pekupeku
 
Ni bora utumie condom maana mnaweza kuwa wote au mmoja kuwa kwenye window period( kipindi cha mpito) pia kuna hepatitis B hivyo kupima Mara moja sio tiketi ya kupiga pekupeku
Window period inaisha baada ya miezi 3 au ndio propaganda za wataalamu wa afya?
 
Heri ya pasaka Ladies & Gentlemen

Hivi endapo umempata mpenz na mkaamua kupima ili uweze kula kitu mbashara, nini kingine cha kuhofia? au baada ya kupima na mkakutwa wote mpo safi unaweza kwenda kujilia vituz? au usubirie tena mpaka baada ya miezi 3 km inavyoshauriwa na watalaam?

Weka maoni yako pls.
Ukienda nae ukamkuta ni bikra endelea kutumia pasipo uoga. Na mkubaliane wewe na yeye msiende na mwingine tofauti. Lkn kama utamkuta ni mzoefu ataendelea na huyu na yule na atakutana na mwenye nao atakuletea mubashara
 
Back
Top Bottom