Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, sijajua shida iko wapi na wanakosa nini na kwanini hawaridhiki na maisha na uwezo walionayo yeye na mwenzie[mume wake]
Fundi ni mbuziWengine hawahitaji pesa et wanataka wakuoneshe ufundi tu, ukikataa ww mshamba. Kaz kwei kwei
Wengine wanaume wapole na wanawapenda wake zao lakini wanaliwa vile vile.Mkuu labda nichangie jambo moja katika watu waaongoza kuliwa ni wake za watu
Kwanza wengi wanaongozwa kuliwa ni wale ambao eidha mume ana mke mwingine nje au hawala nje ,basi wanawake hawa hutafuta faraja nje kwa garama zao wenyewe
Ndomana nasema hata kama una makando kando yako hakikisha mke hajui maana anaweza mtunuku papuch hata rafiki yako ilimradi kulipa kisasi
Mke wako anadanga mkuu?
Toka kuwa Mwanaume hadi kuwa Msemaji Mkuu wa Wanawake TZ.Mume unalala na mafaili, mkeo akalale na nani?
Tusiwalaumu wanawake
Ni jambo jema sana, kuliko kulala na makablasha kitandani. Hiyo ni misuse of Resources.
Ukiwa falagha na mkeo hakikisha unamshugulikia haswa,weka ustaarabu kando,Wengine wanaume wapole na wanawapenda wake zao lakini wanaliwa vile vile.
Hii mambo Haina fomula chalii angu.
Kuna mtu unaweza mchapia mkewe mpakA ukaona huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mzee ila inaweza ikawa asilimia ndogo sana kulikoni wale ambao wanamakando kando mpaka yakajulikana nyumba kubwa ,maana nazungumza hivi kwa kuwa nayaona mtaani katika wanawake wa hivi 10 tisa wameliwa tena kwa ihisani zao wenyewe ,japo na hoja yako pia siikataiWengine wanaume wapole na wanawapenda wake zao lakini wanaliwa vile vile.
Hii mambo Haina fomula chalii angu.
Kuna mtu unaweza mchapia mkewe mpakA ukaona huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app