Search results

  1. VoiceOfReason

    LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Poa wakuu tufanye cost breakdown ya hizo hekari na mabanda ya mwanzo kama ni fence au nini ili tujue vizuri.... Katika pita pita zangu pia nimeona hii (Raising Goats for Meat) http://extension.umd.edu/publications/PDFs/FS816.pdf This might be the begging of something good :) Tena kama ardhi...
  2. VoiceOfReason

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Mkuu don't you think this is a means to an end..?, hata kama motive za hao France ni self interest wouldn't you rather have a Somalia and East Africa without Al Shabab..?,Dont you think sometimes an enemy of my enemy is my friend ?, or would you rather have Al Shabab and everytime you shop or...
  3. VoiceOfReason

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Tena huenda kutafuta wawekezaji wa kuwekeza ambayo huenda ikawa a complicated process na wakaonekana wana maslahi binafsi (10%) wanaweza waka-mobilize watu huko vijijini wakawajengea biofuels domes ambazo wakulima watatumia samadi na kupata gesi ya kupikia bila gharama ya kuni wala mafuta ya taa..,
  4. VoiceOfReason

    MSAADA: What is the best way for a fast, less pain death?

    I guess maybe you are writing a novel or something and you are putting up a plot nimeona hii online from yahoo answers maybe itakusaidia kwenye kitabu chako (or any creative work your doing) ila kama your suicidal talking to friends na solving the problems might help (no fun in running away from...
  5. VoiceOfReason

    De terugkeer van .......per uur per uur

    The return of ........ per uur per uur
  6. VoiceOfReason

    Antivirus gani nzuri zaidi?

    cheki hii post ni swali kama lako https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/182370-nahitaji-antivirus.html#post2666328
  7. VoiceOfReason

    De terugkeer van .......per uur per uur

    Duh Karibu hizi hodi nyingine kwakweli hata ukiwa bafuni unazisikia...!!! Karibu Jamvini :) The Return of.... per uur per uur.... karibu tena au ndio karibu ya mara ya kwanza ? Anyway karibu is karibu kwahiyo KARIBU
  8. VoiceOfReason

    Aisee jombaa,ni aje humu?

    Ha ha haaa Mkuu kumbuka ukiwa "Jack of all Trades..., Utakuwa a Master of Non...." Karibu Jamvini
  9. VoiceOfReason

    Kwa wajasiliamali, wafanyabiashara na wanaoelewa....

    Mkuu hata kama ipo kichwani hio ni business plan, huwezi kwenda popote bila kuwa na plan (kwahiyo hata wewe kwenye project zako ulikuwa na plan) hata kuuza nyanya unakuwa na plan.. Ila uzuri wa kuwa na well written plan inakusaidia kujua at an instant time upo wapi na unatakiwa uende wapi na...
  10. VoiceOfReason

    Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

    Mkuu welcome aboard to the really Tanzania, nadhani wananchi wameshachoka na kinachowaumiza sana sio wewe kupigwa waka kufungwa bali wenyewe kudhulumiwa na kupigwa na maisha magumu kila siku.. Huenda kupigwa kwako na wewe utaonja siri ya kata ambayo mtungi ndio unajua..., welcome to the really...
  11. VoiceOfReason

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    Nadhani hii inakuwa na manufaa sana kwako sababu kama mtu alimuua ndugu yako kwa mateso au hawa wanaotoa kiungo cha binadamu (au hata rape) inaweza kuacha kovu la maisha kwa mtu ambalo ni mateso kuliko hata kifo..., nadhani watu kama hawa kupewa instant kifo inakuwa ni kama wameget off lightly
  12. VoiceOfReason

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    Mkuu tatizo moja mtu akikubali kosa ili amuokoe mwingine (mfano mtoto wake) hapo tatizo lipo sababu jambazi anaweza akawa ameokoka na mtu mzuri ameokoka.., Pili gharama ya kuhukumu kifo ni kubwa mno kwanza lazima watu wapate uhakika zaidi na zaidi kwamba kweli alifanya alafu ikija kubainika...
  13. VoiceOfReason

    Nimepigwa Ban kwa kushangilia kipigo cha Man U.....

    Mkuu inabidi usome mazingira nakumbuka kipindi England anafungwa na Brazil (Baada ya Ronaldinho, kumuaibisha David Seaman) nilikuwa nimezungukwa na washabiki wote wa England, kipindi hicho mechi zilikuwa asubuhi.., ilibidi nijikaze kushangilia na niende chooni kidogo ili nikashangilie huko na...
  14. VoiceOfReason

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Its a Terrorist Attack "Inciting Terror to people" and no matter who has done it or what has caused it needs to be stopped.., and As I have told you first Al Shabab promised to do such incident, and remember I told you these Terrorists group they work in cells which means they have no one leader...
  15. VoiceOfReason

    Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

    Asante Mkuu Much Appreciated Kwa Jibu lako.., Pamoja Sana..
  16. VoiceOfReason

    LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Okay kwa haraka haraka mbuzi kumnunua mdogo kabla ya kumlisha ni kiasi gani na akishafikia marketable price ni kiasi gani kumuuza Na is it cheaper and more profitable kuwa-breed kabisa au..? Na soko lake vipi hapo Bongo kuna mdau niliona kwenye post fulani anasema hii issue hata Comoro hii nyama...
  17. VoiceOfReason

    Land grab that threats more than 162,000 Tanzanians

    Mkuu watu wanahamishwa sababu hapo ndio pazuri (ardhi yenye value) Kuhusu huku kila mtu apewe ardhi 20000 nakupinga kabisa kwahiyo na population itakavyoongezeka zaidi hizo ardhi watu walizopewa zitakuwaje si ndio kuleta matabaka makubwa huku... Binafsi nadhani turudi kwenye dhana za Mwalimu...
  18. VoiceOfReason

    Land grab that threats more than 162,000 Tanzanians

    Hivi hili jambo najiuliza kila siku...!!!, kama kweli hizi venture ni this profitable kwanini serikali isifanye yenyewe na inacost kiasi gani (ili iweze ku-keep 100% profit) Kwanini kwenda kuuza ili jamaa waje wafanye tena jamaa ambao hawana uchungu na jamii husika...? Alafu unadhani mkulima wa...
  19. VoiceOfReason

    Mhe Mnyika, hapa unaniangusha - Mfumuko wa bei

    Another point to remember...!!! kuna mazao yanaozea mashambani huko vijijini cha kufanya ni kushinikiza serikali ipeleke miundombinu mpaka huko ili mazao yaweze kufika sokoni kwa urahisi uone kama bei hazitashuka automatically... Ni mengi ya kuyafanya na yote yanakuja kwenye jibu moja tu...
  20. VoiceOfReason

    Mhe Mnyika, hapa unaniangusha - Mfumuko wa bei

    Mkuu huku ni ku-tackle tatizo kwa njia ambayo sio sahihi.., badala ya kulazimisha mtu auze sukari kwa 2,500/= hakikisha supply inaongezeka.., alafu kumbuka hakuna mfanyabiashara honest popote pale.., na hata kule kwa wenzetu competition inakuwa kubwa sababu ya purchasing power ya watu ni kubwa...
Back
Top Bottom