Aisee jombaa,ni aje humu?

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Nimekuja aisee ila kibiashara zaidi,
nauza; mbege,mikate,matrekta,vifaa vya baiskel,maandazi,supu,wali,pilau,vifaa vya pikipiki,sukari,mchele,nyama ya kitimoto,sabuni,maharage,sambusa,karanga,vifaa vya ujenzi,kondomu,
pia ninaziba pancha za baiskeli,magari pikipiki,ninaosha magari na pikipiki,pia mm ni wakala wa voda,airtel,tigo na zantel.
KARIBUNI MNIUNGISHE AISEE!
 
karibu ila ukumbuke huu sio ubao wa Matangazo!.
 
Ha ha haaa Mkuu kumbuka ukiwa "Jack of all Trades..., Utakuwa a Master of Non...."
Karibu Jamvini
 
Jukwaa la biashara na la matangazo litakufaa sana. Karibu jamvini!
 
Nimekuja aisee ila kibiashara zaidi,
nauza; mbege,mikate,matrekta,vifaa vya baiskel,maandazi,supu,wali,pilau,vifaa vya pikipiki,sukari,mchele,nyama ya kitimoto,sabuni,maharage,sambusa,karanga,vifaa vya ujenzi,kondomu,
pia ninaziba pancha za baiskeli,magari pikipiki,ninaosha magari na pikipiki,pia mm ni wakala wa voda,airtel,tigo na zantel.
KARIBUNI MNIUNGISHE AISEE!
Mkuu mbona kama tangazo vile..!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom