De terugkeer van .......per uur per uur

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi

Mungu ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake
Hekima, umoja na amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
Ibariki, Afrika
Ibariki, Afrika
Tubariki, watoto wa Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume na watoto
Mungu, ibariki
Tanzania, na watu wake
Ibariki, Tanzania
Ibariki, Tanzania
Tubariki, watoto wa Tanzania
 
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi
 
Duh Karibu hizi hodi nyingine kwakweli hata ukiwa bafuni unazisikia...!!!
Karibu Jamvini :)

The Return of.... per uur per uur....
karibu tena au ndio karibu ya mara ya kwanza ?
Anyway karibu is karibu
kwahiyo KARIBU
 
Kha, we Kupeng'e ulikuwa wapi weye? Mbona uliadimikaga hivyo weye? au ndio walikuzabua la maisha ukarudi kivingine

BTW Karibu sana
 
Hodi Hodi wanaJF

Wote wazima wa afya
Mchango yenu imekuwa ya Tija kwa taifa la Tanzania kwa sisi tuesomayo tukiwa guest
na sasa najiunga rasmi


Kupeng'e! Welkom! ik had niet gedacht dat jij nederlands bent!
 
PER PEURR!!....? Huo umeme umeutoa wapi?.. hebu gonga na mikono dada!
 
Back
Top Bottom