Search results

  1. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Habari wakuu? Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi sita sasa. Nilikutana nae kwenye mgahawa mmoja nilipokuwa naenda kupata chakula. Mimi bado sijaoa na sina familia maisha yangu mengi nakula kwenye migahawa. Nilimpenda kiukweli hatimaye nikawa nae. Binti huyu akuniambia mama ameolewa...
  2. apologize

    Msaada: Software ya ku print PVC card nina EPSON L-850

    Habari wakuu? Nina printer aina ya EPSON L850 changamoto niliyonayo nashidwa ku print PVC card. Naomba msaada wa jina la software ili niweze ku download nifanye hii shughuli. Ahsante.
  3. apologize

    Msaada: Jinsi ya ku root Infinix S5

    Wakuu habari? Naomba msaada jinsi ya ku root Infinix S5 bila kutumia PC Model: x652 Android version: 9 (Pie) Nimejaribu kwa kingroot naona haifanyi kazi inagoma kuwa installed, Kama kuna app nyingine naomba mnijuze Sent using Jamii Forums mobile app
  4. apologize

    Naomba kufahamu gharama za kufanya meno yawe meupe (Whitening of teeth)

    Habari wakuu? Naomba kufahamu vitu vifuatavyo ili niweze kugharisha meno yangu kutoka unjano uliokelea nipate tabasamu zuri? Gharama za ku bleach/ whitening kama ni kwa jino au kinywa kizima? Matibabu yanachukua siku ngapi ili meno kubadilika kutoka unjano uliokolea haswa mpaka weupe? Clinic...
  5. apologize

    Msaada: Kuhusu kiapo cha mahakamani cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa

    Habarini wakuu? Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa kidogo jina langu na limepishana na jina la liliopo kwenye vyeti vya kitaaluma. Ambapo nimepata changamoto halmashauri kunipokea katika ajira mpya. Nilikuwa naomba kujua kwa hapa Dar es salaam mahakamani inayohusika ni ipi na iko...
  6. apologize

    Naweza kutumia certificate ya nursing kusomea clinical officer

    Habarini wakuu? Kuna dogo wangu ana certificate ya nursing anataka kwenda clinical officer. Je anaruhusiwa kubadili fani? Vigezo vipi vinatumika? Nawasilisha... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. apologize

    Mabasi ya Mbeya to Mwanza

    Habarini wakuu? Naomba kujua kama kuna mabasi yanafanya route za Mbeya to Mwanza Basi nzuri ni lipi ? Gharama zake zikoje? Zitapita route ipi? Na inachukua muda gani kufika mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. apologize

    Anayefahamu wilaya ya KALAMBO-RUKWA

    Habari wakuu, Kuna ndugu yangu kapangiwa huko kikazi naomba kujua mambo haya. Gharama za usafiri kutoka Dar mpaka Kalambo na unapanda magari yanayoenda wapi? Hali ya mazingira ikoje hasa kwa miundo mbinu kama maji na umeme Gharama za gest house zikoje maana hana ndugu wa kufikia Vyumba vya...
  9. apologize

    Naomba kujua gharama za kubadilisha kioo cha iPhone 3G

    Habari wakuu?. Nina simu yangu aina ya iPhone 3G imepasuka kioo na kugoma ku touch, naomba kujua gharama zina range kiasi gani kubadilisha kwa hapa Dar es Salaam. Kama mnavyojua wajanja ni wengi nisije nikavamia mafundi wasio na ubora nikapigwa pesa ambayo siyo halali na simu kutofanyiwa...
  10. apologize

    Msaada: Jinsi ya Ku unlock Vodafone 301 iweze kuruhusu kutumia internet laini yoyote

    Habari wakuu? Nina simu aina ya Vodafone VDF 301. ambayo inatumia laini mbili moja lazima iwe ya vodacom Tatzo lipo kwenye kutumia data (internet) imekuwa guided kwa lain one tu ( ambayo ni ya vodacom) huwezi kutumia laini nyingine incase of internet. Naomben Msaada wenu kwenye utatuzi wa...
  11. apologize

    Software(application) ipi nzuri katika graphs drawing

    Habari wakuu, nilikuwa naomba kujua software ware ipi ambayo ni FREE kupakua katika mtandao ambayo itanisaidia kuchora graphs,hasa za takwimu ambazo sio ngumu ( not complicated mathematics)
  12. apologize

    Msaada: Nawezake ku Quote katika GB Whatsapp

    Habari wakuu, Nime install hii application ya GB Whatsapp lakini napata ugumu wa ku quote Ujumbe wa mtu binafsi katika group, tofaut na ile Whatsapp ya mwanzo niliyokuwa nnimezoea. Kwa mwenye ujuzi wa hii kitu anijulishe
  13. apologize

    Ushauri: Jinsi ya kujieleza kwenye Interview (nafasi za uuguzi)

    Habarini wakuu! Kuna mdogo wangu hapa amemaliza chuo cha uuguzi (nursing) mwaka jana, ngazi ya Cheti na kupata GPA 4.5 na alikuwa anategemea kupata ajira mwaka huu (ambazo serikali hutoa kwa kuwapangia vituo vya kazi) Alijaribu kutuma maombi sehemu mbalimbali katika hospitali binafsi na za...
  14. apologize

    Msaada: NImeibiwa simu yangu, nifanyeje niweze kuitrack?

    Habari wakuu, Nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5 (lakini niliinstall avast anti-theft), nawezaje kuitrack simu yangu niipate? Pia simu yangu ipo rooted, je hata akiiflash naweza kuipata tu?
  15. apologize

    Ntapataje movies hizi Hotel Rwanda na Sometimes in April

    Habari wakuu, nilijaribu kuingia YouTube ili niweze ku download movies tajwa hapo juu,nimeshindwa Kutokana na ninazozipata kuwa katika lugha ambayo ni tofaut na kiingereza. Kwa aliye na link anisaidie ambayo aina barriers zozote Kama changamoto baadh zilizokutana wakat nataka ni download...
  16. apologize

    Program ipi nzuri naweza kuinstall kwenye PC ili inisaidie Ku copy mafaili kwa urahisi

    Wasalamu wakuu!!!! Naomba kwa yeyote anayefahamu program nzuri nitayoweza kuinstall kwenye PC, ili iwe rahis kuamisha mafaili ,kwa sababu kuna shughuli nzito ya kuhamisha mafaili yenye GB kubwa nataka nifanye Nawasilisha
  17. apologize

    App nzuri ya ku block calls na SMS

    Habari wakuu, naomba kufahamu Kama kuna app ya kublock call, ambayo akipiga simu isipatikane kabisa na Siyo itoe notification ya kwamba simu inatumika Kama app Zingine zinavyofanya.
  18. apologize

    Msaada: Code za M-PESA zinagoma kufanya usajili TCU, ni zaidi ya masaa 12 hadi sasa

    Habari, wakuu kuna mdogo wangu amefanya malipo M PESA toka Jana 26.07.2016 saa 7.04pm cha ajabu hadi sasa navyojaribu kumfanyia application inagoma nakutania na Ujumbe wa namna hii
  19. apologize

    Wanawake: Kuna watu mnawachagua wa kula nao raha wengine kuwachuna

    Habari wakuu, Hii kitu imenitokea kwangu na ninahisi mwanaume mwezangu simtendei haki, kuna binti mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano kipindi cha nyuma, tukapotezana takribani miaka miwili, kutoka na shughuli za kimasomo na wakawa wamehama mkoa moja kwa moja. Mimi na yeye tukakubaliana...
  20. apologize

    Photo Editor ipi nzuri kuweka katika PC

    Habari wakuu, naomba kujua photo editor ambazo ni za bure na ni nzuri kuinstall katika PC. NAWASILISHA
Back
Top Bottom