Msaada: Kuhusu kiapo cha mahakamani cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
697
500
Habarini wakuu?

Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa kidogo jina langu na limepishana na jina la liliopo kwenye vyeti vya kitaaluma. Ambapo nimepata changamoto halmashauri kunipokea katika ajira mpya.

Nilikuwa naomba kujua kwa hapa Dar es salaam mahakamani inayohusika ni ipi na iko maeneo gani pamoja na gharama ya kiapo

Asanteni
 
MENYUKE

Senior Member
Jul 3, 2018
100
225
Mkuu imeisha hiyo. Mpigie wakili huyu chap! 071324783863 Mapunda
Habarini wakuu?

Cheti changu cha kuzaliwa kimekosewa kuandikwa kidogo jina langu na limepishana na jina la liliopo kwenye vyeti vya kitaaluma. Ambapo nimepata changamoto halmashauri kunipokea katika ajira mpya.

Nilikuwa naomba kujua kwa hapa Dar es salaam mahakamani inayohusika ni ipi na iko maeneo gani pamoja na gharama ya kiapo

Asanteni
 
kambi7

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
766
1,000
Mahakama yoyote ya mwanzo au wilaya iliyo karibu nawe au tafuta wakili nao wanafayanya kazi hizo, bei inategemea na wewe au na ofisi husika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom