Msaada: NImeibiwa simu yangu, nifanyeje niweze kuitrack?

apologize

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
709
Reaction score
570
Habari wakuu,

Nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5 (lakini niliinstall avast anti-theft), nawezaje kuitrack simu yangu niipate?

Pia simu yangu ipo rooted, je hata akiiflash naweza kuipata tu?
 
akiformat unaipata, akiflash huipati, root ant theft zinajieka kwenye firmware.

ulieka kitu gani kipewe notification? kama ni namba ya siku au email hakikisha unacho sasa hivi.
 
Huwezi kuipata
Habari wakuu,
nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5, nawezaje kuitrack simu yangu niipate, pia simu yangu ipo rooted je h
Habari wakuu,
nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5, nawezaje kuitrack simu yangu niipate, pia simu yangu ipo rooted je hata akiiflash naweza kuipata tu?
Hapo ni 50/50 km una imei na
Habari wakuu,
nimeibiwa simu yangu aina ya TECNO J5, nawezaje kuitrack simu yangu niipate, pia simu yangu ipo rooted je hata akiiflash naweza kuipata tu?
50/50
 
...
Fanya hivi piga huduma kwa wateja ya mtandao ulio kuwa unatumia kwenye hiyo simu.. Wape information zotee.. Ucjali kuhusu IMEI ...wao wanayo.. Then uta directiwa mpaka simu yako ilipo haijalishi imeflashiwa au imezima.... Inatrakika vizuri kabisaaaa.... ASANTE
 
Mkuu mimi nina imei ya simu yangu iliyoibiwa. nafanyaje ili kuweza kupata simu yangu?
 
Hauwezi kuipata wewe kama wewe.... kampuni za simu zinaweza kutrack hiyo kitu kwa imei.
 
Back
Top Bottom