Search results

  1. Mpigadili Tz

    Wizi wa Mitandaoni

    Habari Wakuu, kuna Swali kidogo linanivuruga, kuna Matapeli huwa wanawapigia Watu Simu na kuwaambia kuna namba wazipige huku akikuelekeza cha kufanya hatua kwa hatu matokeo yake unajikuta salio lote wabeba kama Tigo pesa, Airtel money n.k, sasa nachojiuliza kua Tapeli hawezi kuchukua Pesa yako...
  2. Mpigadili Tz

    Nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho

    Habari Wakuu, naombeni kuuliza nini tatizo nikikaa na kiu kwa muda mrefu mfano kama masaa 6 alafu nikinywa Maji natokwa na Jasho sana baada ya kumaliza kunywa Maji nikikaa kama sekunde 30 baada ya kunywa Maji, sasa tatizo ni nini?
  3. Mpigadili Tz

    Fuso

    Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu 1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia) naomba kujua tatizo ni nini? 2. Kuna uwezekano wa Gari ukamaliza Gia zote na ukikanyagia RPM ikafika...
  4. Mpigadili Tz

    Fuso

    Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu 1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia) naomba kujua tatizo ni nini? 2. Kuna uwezekano wa Gari ukamaliza Gia zote na ukikanyagia RPM ikafika...
  5. Mpigadili Tz

    Kwanini hewa ilitoka nje kuingia ndani ya hili tenki?

    Habari wakuu... hili jambo nataka kujua kisayansi limekaaje, ipo hivi katika Magari yanayobeba Mafuta kama Kerosene (IK) katika lile Tank juu kuna mifuniko miwili mmoja mkubwa na wa pili mdogo. Sasa ni hivi kuna siku Mafuta wakati yanatakiwa kushushwa niliambiwa nifungulie Koki nikafungua...
  6. Mpigadili Tz

    Msaada

    Habari Wakuu, kuna Gari ya Best yangu ina tatizo moja... Ni kwamba ile Gari ukiweka maji katika Rejeta ((samahani kwa kuandika kama inavyotamkwa)) alafu ukiiwasha Maji yanaruka kutoka katika Rejeta kwenda nje kama lita 2.5-3 kwa wakati mmoja kiufupi ukiiwasha kama kuna Pump inayoyatoa yale Maji...
  7. Mpigadili Tz

    Msaada; TRA wanaruhusu kumchukulia mtu mwingine leseni yake?

    Habari zenu, nimefanya taratibu zote TRA sasa bado kurenew leseni yangu ya biashara ila nahisi nitakuwa mbali na manispaa husika sasa nauliza unaweza kumuagiza mtu akakuchukulie leseni ya biashara manispaa au hadi ufunge safari mwenyewe (TAX CLEARANCE ninayo)?
  8. Mpigadili Tz

    Wizi wa mitandaoni

    Habari zenu waungwana, Tarehe 8/7/2017 katika ofisi ninayo fanyia kazi, kulitokea wizi (sikupigwa mimi) ilitokea hivi: Kuna jamaa alikuja kutoa pesa katika mtandao wa voda kiasi cha 270000 baada ya kutoa na kukabidhiwa kile kiasi na yule alikuwepo pale (wakala) yule jamaa akaondoka huku wakala...
  9. Mpigadili Tz

    Msaada

    Habari zenu, natumia king'amuzi cha Azam lakini kuna baadhi ya chanel kama mbili hivi zinaonyesha lakini hazitoi sauti ila zingine zinatoa nini tatizo Wakuu?
  10. Mpigadili Tz

    Msaada: Sijawahi kupenda kutoka moyoni

    Habari zenu waungwana, Mimi ni mvulana kuna kitu kinanisumbua kuhusu upendo hususani katika mapenzi. Sikuwahi kumpenda mtu kwa dhati kutoka moyoni nimewahi kuwa katika uhusiano na wasichana kama watatu kwa nyakati tofauti lakini hakuna hata mmoja nilimpenda, japo najilazimisha na sijawahi...
  11. Mpigadili Tz

    Meno kuuma

    Habari zenu, si mara ya kwanza kumsikia mtu akisema meno humuuma pindi mtu akisugua kitu cha bati au chuma mfano kunoa kisu katika sakafu, sasa naomba kujuzwa hivi kuna uhusiano gani kati ya meno kuuma na ile sauti inayotokana na kusuguliwa kwa kitu? AHSANTENI
  12. Mpigadili Tz

    Gari kudai gia

    Habari zenu wakuu? Jana katika pita pita zangu kuna Rafiki yangu aliniambia hivi ''Gari yangu ina gia tano lakini nashangaa nikiwa katika mwendo na natembelea namba tano huwa inadai gia wakati gia nishamaliza'' nikawa najiuliza hivi hii inawezekana au labda kuna mtu aliiharibu? Msaada wenu...
  13. Mpigadili Tz

    Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi?

    Habari zenu wakuu, mimi sio mzoefu sana wa tv sasa nataka kununua flat screen nimependelea iwe ya kisasa sasa nahofia kuingizwa mjini. Naomba mnisaidie flat screen ya kisasa ina sifa zipi na kampuni gani nzuri nilipendelea inch 32?
  14. Mpigadili Tz

    Wizi wa fedha za kwenye simu, hii inawezekanaje?

    Habari zenu, baada ya mimi juzi kupigwa katika mtandao pesa leo kuna jirani yangu nae kapigwa ni hivi: Majira ya saa 5 simu yake ya wakala ikaita kuangalia ni namba iliyotokea kwa jina la M-PESA. Sasa alivyopokea akaambiwa kuwa kuna pesa kaipokea kimakosa kiasi cha 980000 inabidi airejeshe na...
  15. Mpigadili Tz

    Radio katika simu

    Habari zenu, nilikua na Samsung s3 ilikua na radio lakini niliiuza nikanunua tena Samsung s3 lakini haina radio naomba kuuliza hii imekaaje na pia nikitaka kupakua radio mtandaoni zipo zisitumia internet wakati wa kusikiliza?
  16. Mpigadili Tz

    Wizi wakati wa kuweka pesa kwa wakala

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mfanya biashara katika biashara yangu pia nimeweka mambo ya huduma za kipesa za mitandao (Wakala), sasa jana majira ya saa tisa kuna mtu alikuja akasema: Jamaa: niwekee Tigo pesa laki 8 na voda niwekee laki moja Mimi: poa (jamaa akanipa pesa nikazihesabu zikawa...
  17. Mpigadili Tz

    Msaada: Nikila nahisi kama joto tumboni, tatizo nini?

    Habari zenu, kuna wakati nikila kitu huwa nahisi kama joto tumboni hata kama maji ya baridi japo sio mara zote ni mara chache sana hii husababishwa na nini?
  18. Mpigadili Tz

    Kuhusu gari

    Habari zenu? Wakuu kidogo kuna swali linanitatiza sababu sijapitia gereji au katika mambo haya, ni hivi naimani mashine ili ifanye kazi basi inahitaji chanzo cha umeme sasa inawezekana vipi gari ukiiwasha na ikiwaka unaweza kutoa betri na ikaendelea kuwaka? Ahsanteni
  19. Mpigadili Tz

    Kuhusu Majukumu ya kazi ya Waziri mkuu na makamu wa rais

    Habari zenu Wakuu, Nimepata kusikia kuwa baadhi ya Mataifa makubwa yakiwa na Waziri mkuu basi Makamu wa raisi hayupo au akiwepo makamu wa raisi basi waziri mkuu hayupo kwa hiyo naombeni kujua tu kazi kubwa ya waziri mkuu na makamu wa raisi ni nini au kuna mwingiliano wa kazi zao (kufanana)...
  20. Mpigadili Tz

    Msaada wa simu

    Natumia simu ya Samsung (s3) sasa kuna kama jicho huwa linatokea juu ya simu karibu na sehemu inaonyesha betri au signal ya network naomba kufahamishwa nini maana yake.
Back
Top Bottom