Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Habari zenu, si mara ya kwanza kumsikia mtu akisema meno humuuma pindi mtu akisugua kitu cha bati au chuma mfano kunoa kisu katika sakafu, sasa naomba kujuzwa hivi kuna uhusiano gani kati ya meno kuuma na ile sauti inayotokana na kusuguliwa kwa kitu? AHSANTENI