Search results

  1. Mrisho com

    Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

    Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu. Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa...
  2. Mrisho com

    Car4Sale Toyota hilux ipo sokoni

    Nauza chombo Toyota hilux Mwaka2011 Bei 47milion 0715 378899 Chombo kipo temboni 0715 378899 kwa picha zaidi
  3. Mrisho com

    Msaada kabla sijafunga safari kwenda Azam

    Nina king'amuzi cha Azam cha antena, sasa nikiweka flash inacheza video ila sauti haitoi kabisa. Sasa nawatafuta Azam kwa njia ya simu naona ngonjera tu. Hivyo mwenye ujuzi kabla wa sikufunga safari ya kuwafuata anielekeze ni kwanini video nikiplay hazitoi sauti ambazo nyingi ni za mp4...
  4. Mrisho com

    Natafuta tajiri wa kumuuzia ndizi

    Natafuta tajiri ambae anaweza akafika shamba kununua ndizi aina ya Mzuzu wa njano,moja ya ndizi nzuri na tamu iwe kwa kuchemsha,kukaanga. Shamba lipo morogoro mvuha,barabara nzuri zimapitika muda wote si kiangazi wala masika zipo kavu.
  5. Mrisho com

    Kwanini video na picha nikimtumia mtu kwa WhatsApp quality hushuka?

    Mwenye kufahamu ili atusaidie, natumia gb whatsapp ila nikitaka kutuma picha au video kwa mtu au status basi ubora hushuka mpaka najishangaa, tatizo nini nimejaribu kufuatiria kwenye whatsapp settings nikaweka BEST QUALITY lakini hamna kitu. Mwenye ujanja wa hili jambo hebu tusanue kidogo
  6. Mrisho com

    Ulishawahi kusahau jinsia ya mke wako na ukasema ngoja nikamuulize?

    Maisha yana kila aina ya vimbwanga na unaweza kusema kama ushamaliza kuona maajabu yote mwishowe unajiona ndio kwanza unaanza kuona maajabu. Mwaka 2016 nikiwa Tanga chuo cha utumishi nikawa nakaa na jamaa yangu mmoja,alikuwa mlevi hivi ila hakuwa na shida,alikuwa anapenda sana madem. Alipata...
  7. Mrisho com

    Baadhi ya maeneo Kariakoo barabara zimechimbika na maji yanapokauka huacha mashimo yanayorundika vumbi

    Kama utapita Kariakoo siku mbili hizi baada ya mvua kuacha utajionea hali ya vumbi, haya yanakuja kutokana na barabara kuchimbika mashimo na maji yanapokauka kuacha mashimo yanayotoa vumbi. Ifike hatua kama tumeshindwa kuweka lami kwenye hizi barabara za ndani basi tuweke hata Zege ambazo...
  8. Mrisho com

    Ukweli mchungu: TABATA kuna miundombinu ya hovyo sana

    Kuna mteja alikuja dukan kwetu majira ya jioni na kununua bidhaa,kwenye saa kumi na mbili hivi,basi ilipofika saa mbili nami nikafunga na kutafuta usafiri ili nirudi nyumbani. Wakati nipo kituoni nikaona namba ngeni nikapokea huku akinipa maelekezo ya hapa na pale juu ya kifaa chake na kunitaka...
  9. Mrisho com

    Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

    Mimi babu wa maraha nipo zangu nyumbani nimetulia kabisa huku nikiburudishwa na Aurlus Mabele, huku home theatre likiunguruma. Ukweli mchungu zamani kulikuwa na muziki haswa, sio kelele za siku hizi, yaani nimejikuta kama sidaiwi hivi kumbe nina madeni tele, lakini hii play list inanifanya...
  10. Mrisho com

    Wanajeshi 154 wamefariki tangu kuanza kwa vita

    Israeli imesema wamepoteza wanajeshi wao 154 tangu kuanza kwa vita hivyo na mahasimu wao Hamas.Ingawaje Hamas inasema sio kweli kwa idadi iliyotangazwa ni ndogo tofauti na kile kinachoonekana uwanja wa vita. Aljazeera
  11. Mrisho com

    Natafuta shule ya bweni iwe mchanganyiko au la ya bei nafuu tafadhari

    Nina dada yangu sasa nafikiria kutoa huku asante kotoko,hivyo mwenye kufahau au kuifahamu shule ya bweni yenye gharama nafuu anidokeze nifanye mpango haraka. Natanguliza shukrani
  12. Mrisho com

    LATRA kuna utata mkubwa mitaani kati ya abiria na daladala juu ya nauli mpya

    Nimepanda gari na kwenda sehemu tofauti tofauti nimeona mizozo mingi sana kwenye gari juu ya nauli mpya. Sasa inawezekana ni uelewa wa watu juu ya mabadiriko haya mapya ya nauli au mambo yakawa miso missondo. Mfano,nauli kutoka buza mpaka kariakoo gerezani, zamani ilikuwa 500 na sasa nauli mpya...
  13. Mrisho com

    MSAADA: Nasumbuliwa na miguu kuuma, hasa mguu wa kushoto

    Nasumbuliwa na miguu kuuma hasa wa kushoto, hivi karibuni nikasogea kwenye zahanati wakaniambia kwamba huo mguu hauumi isipokuwa una ganzi. Basi wakanifungashia dawa fulani hivi za NATB, ila mguu unauma sana kwenye vidole pindi unapotembea. Yaani kuanzia kwenye vidole hadi kwenye vigimbi...
  14. Mrisho com

    Yupo wapi huyu mwamba Bad Bakule?

    Leo nimepita mitaa ya huku Aggrey Kariakoo nimekutana na jamaa akiwa anamuwekea nyimbo mama mmoja kwenye flash ikabidi nisogelee nipate kumuhoji yule jamaa huku akinisindikiza na vibao mbalimbali kutoka kwa Bad Bakule kama Paulina, Mgumba. Kwakweli kwa miaka ile ya 2000 kulikuwa na burudani...
  15. Mrisho com

    Kwa wanaohitaji TV za mtumba kuanzia nch 42,43 nakuendelea.

    Nauza tv za mtumba kumpuni tofauti tofauti kuanzia Philips, Sony, lg, Hitach na mengineyo. Bei zetu kuanzia 440,000___450,000 nakuendelea. tupigie humu 0715 378899 au0687558785
  16. Mrisho com

    TV4Sale Nauza TV za mtumba

    Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba. Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na mengineyo, hivyo nakukaribisha mdau wangu unaependelea vitu hivi. Hiz TV huanzia ukubwa wa nch...
  17. Mrisho com

    Tunauza maziwa ya Ng’ombe

    Habari ya leo humu, tunapenda kuwatangazia jamii kwa ujumla tunauza maziwa ya ng'ombe ambao tunakamua wenyewe. Kwa waliopo ndani ya jiji la Daslam basi kuanzia lita tano (5) tunakuletea mpaka sehemu unapopatikana. Maziwa haya utayapata kwa kiasi cha 2000Tsh tu, hivyo tunawakaribisha nyote
  18. Mrisho com

    Njoo ujipatie viombo vya nyumbani kwa bei nafuu sana

    Tunauza vyombo aina mbalimbali vya nyumbani,vyombo vetu ni kutoka Uturuki, Dubai pamoja na China
  19. Mrisho com

    Ukipata bahati tembelea Miji hii

    Kingston Jamaica ni mji wa kawaida sana, yaani hata jiji la Dar es salaam afadhali kwakweli. Ila kama utapata bahati kafika kwenye hizi nchi harafu utembelee miji yao unaweza just ajabu ya dunia. Ni nchi ambazo hazina kelele na zinatafsiriwa tofauti kabisa na jinsi zilivyo miongoni mwa nchi na...
  20. Mrisho com

    Phone4Sale Nauza simu yangu ya Samsung S10 5G

    Nauza simu yangu ya Samsung S10 5G Storage 256 gb Ram gb 8 500,000 0715 378899
Back
Top Bottom