Yupo wapi huyu mwamba Bad Bakule?

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,899
3,936
Leo nimepita mitaa ya huku Aggrey Kariakoo nimekutana na jamaa akiwa anamuwekea nyimbo mama mmoja kwenye flash ikabidi nisogelee nipate kumuhoji yule jamaa huku akinisindikiza na vibao mbalimbali kutoka kwa Bad Bakule kama Paulina, Mgumba.

Kwakweli kwa miaka ile ya 2000 kulikuwa na burudani haswa, hawa kutoka kwa huyu mwamba akiwa na wenzie wengi.

Yupo wapi huyu jamaa angalau hata ikitokea kufahamu basi tulandelande kupata mawili matatu kutoka kwakwe.
 
Leo nimepita mitaa ya huku aggrey kariakoo nimekutana na jamaa akiwa anamuwekea nyimbo mama mmoja kwenye flash ikabidi nisogelee nipate kumuhoji yule jamaa huku akinisindikiza na vibao mbalimbali kutoka kwa Bad bakule kama Paulina....
Jamaa ni kweli alikuwa na ladha ya pekee kiuimbaji. Taarifa zilizopo ni kwamba Katika Moja ya safari zao nje na band kuna nchi Mwamba alibaki huko huko na kujichanganya Kitaa so hakurudi bongo. Naomba kuwasilisha wenye ya ziada wataongezea.
 
Jumamosi ya tarehe 28/10/2023 alikuwa na band yake sehemu moja mbezi luguruni kijiji kinaitwa kwembe kuna bar inaitwa jondee alipiga pale, jamaa yupo ukimtaka nikachukue mawasiliano yake
 
Jumamosi ya tarehe 28/10/2023 alikuwa na band yake sehemu moja mbezi luguruni kijiji kinaitwa kwembe kuna bar inaitwa jondee alipiga pale, jamaa yupo ukimtaka nikachukue mawasiliano yake
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom