Baadhi ya maeneo Kariakoo barabara zimechimbika na maji yanapokauka huacha mashimo yanayorundika vumbi

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,903
3,937
Kama utapita Kariakoo siku mbili hizi baada ya mvua kuacha utajionea hali ya vumbi, haya yanakuja kutokana na barabara kuchimbika mashimo na maji yanapokauka kuacha mashimo yanayotoa vumbi.

Ifike hatua kama tumeshindwa kuweka lami kwenye hizi barabara za ndani basi tuweke hata Zege ambazo tutaona zinadumu.

Nilichojifunza barabara zetu ni za kiangazi tu na sio za mvua, yaaki kikifika kipindi cha mvua zote zinatobokatoboka. Tujifunze hata kwa wenzetu, miundombinu bora hupendezesha mji.
 
Back
Top Bottom