Natafuta tajiri wa kumuuzia ndizi

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,897
3,930
Natafuta tajiri ambae anaweza akafika shamba kununua ndizi aina ya Mzuzu wa njano,moja ya ndizi nzuri na tamu iwe kwa kuchemsha,kukaanga.

Shamba lipo morogoro mvuha,barabara nzuri zimapitika muda wote si kiangazi wala masika zipo kavu.

IMG_20230729_185647.jpg
 
Kama unatokea jijini Dar na Pwani unakatisha Ngerengere,Tununguo,Magogoni ni mwendo wa masaa manne ukiwa na bus
IMG_20230729_185632.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom