Mrisho com
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 3,899
- 3,937
Mwenye kufahamu ili atusaidie, natumia gb whatsapp ila nikitaka kutuma picha au video kwa mtu au status basi ubora hushuka mpaka najishangaa, tatizo nini nimejaribu kufuatiria kwenye whatsapp settings nikaweka BEST QUALITY lakini hamna kitu.
Mwenye ujanja wa hili jambo hebu tusanue kidogo
Mwenye ujanja wa hili jambo hebu tusanue kidogo