Ulishawahi kusahau jinsia ya mke wako na ukasema ngoja nikamuulize?

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,901
3,937
Maisha yana kila aina ya vimbwanga na unaweza kusema kama ushamaliza kuona maajabu yote mwishowe unajiona ndio kwanza unaanza kuona maajabu.

Mwaka 2016 nikiwa Tanga chuo cha utumishi nikawa nakaa na jamaa yangu mmoja,alikuwa mlevi hivi ila hakuwa na shida,alikuwa anapenda sana madem.

Alipata demu mmoja hivi nakumbuka anaitwa NEEMA mlokole,yule jamaa yangu alivyokatili akajifanya nae mkristo ili amuhadae yule mdada,mpaka kanisani alikuwa anakwenda ili tu amuaminishe kwamba ni Mkristo.

Basi yule dada akalainika akawa anakuja hostel kwetu,ila changamoto ilikuwa kwenye mbunye kutoa.

Siku aliekubali kutoa mbunye akasema huyu lazima nimtafutie mazagazaga(vumbi)ingawaje kule Tanga hakuwa na network ya kupata vumbi ila tulipata taarifa kuwa kuna pharmacy moja inapatikana mikoroshini yule ndio anazile dawa.

Basi tukatoka kwq shauku kubwa kwenda kwenye ile pharmacy tukamkuta yule jamaa ambae alikiwa anafanya kazi hospital ya Bombo na huku mtaani alikuwa na ki pharmacy chake Kange kasera.

Baada kufika pale akamueleza anataka dawa za mambo yetu, bila ajizi yule jamaa akatoa box limejaa kila aina za dawa wewe unachagua unayotaka, basi nakumbuka alimpa 3000 ili Neema akauchezee moto haswa.

Huku nami nikisubiri report za mkuyati wa kizungu jamaa alete mrejesho aisee aliamka kichwa kinamuuma balaa,yaan kichwa kinapasua sio mchezo (side effect).

"SASA HAPA NDIO LINAKUJA SWALI ULISHAWAHI KUSAHAU JINSIA YA MKE WAKO?
 
Baada ya kichwa kikiendelea kumkamata,basi nakumbuka nikamnunulia maziwa tukajua kwamba labda kinaweza kutulia ila wapi,nakumbuka ilipofika saa tano tukajiongeza tukaona kwenda kule kwa jamaa alietuuzia jana mbali basi tukapata wazo la kwenda pharmacy za jirani ili tuone kama atatusaidiaje.

Tukawa na mwaswali mengi sana,tukifika tumwambie nini ili (kumdanganya) ili aisijue jambo linalotusibu.

Tukaenda pharmacy moja hivi ukiwa chuo cha utumishi pale Tanga hiyo pharmacy inaangalia na uwanja wa mpira kama umesoma pale utaijua,sasa nakumbuka kulikuwa na mdada mmoja hivi tukamuingia ili kumuelezea shida yetu mahojioano yalikuwa kama hivi:-

Mhudumu_Karibuni wateja.

Sisi_Asante

Mhudumu _mbona kama wewe unaonekana unaumwa.

Sisi _hapana hakuna mgonjwa ila tuna shida nyingine.

Mhudumu_Enh shida gani.

Sisi(sasa hapa kasimama muhusika)

Kwanza ikumbukwe mm ni mtu ambae cheko langu lipo jirani sana,hivyo mara nyingi inapofikia hatua ya kutunga uongo basi huwa najitahidi kutok kwa dakika kadhaa ili nisionyeshe tabasamu la mashaka,hivyo ile hatu ilipofika nikaona isiwe shida nikajifanya kuzuga na simu.

Yule dada(mhudumu)alimsoma jamaa,kwakuwa yeye ni muuzaji hivyo kwa hali ile aliona kwamba huyu atakuw amekula dawa (vumbi la kizungu)kwa sababu hiz kesi ni nyingi sana pale hivyo kama ikitokea mtu zikamkataa basi humletea maumivu makali sana,sas wao wauzaji wanajua huyu tayari kapiga vidonge na ukizingatia maeneo ya chuo wengi wao ndio watej wa hizo mambo.

Jamaa yangu akaanza kumelekeza yule dada kwamba""mke wangu amemeza dawa,hivyo zile dawa kama zimemzidi hivyo kama kuna dawa za kutuliza maumivu naomba nimpelekee".

Sasa kwakuwa yule muuzaji alishamsoma mwamba kwamba yeye ndio mgonjwa basi dada akamueleza dawa zipo ila nataka kufahamu ni nani haswa mgonjwa kati ya kwako au mkeo.

Pia hizi dawa hutoka kw kila jinsia hivyo zipo za kumezq wanawake maana jinsia ya kike na za kumeza wanaume ambazo ni jinsia ya kiume,hivyo mgonjwa wako ni jinsia gani???

Ndipo jamaa akasema ngoja niende nikamuulize ni wa jinsia gani_mwishowe tukabaki na cheko na huzuni ya jamaa yakutomtambua mrembo wake ni wa jinsia gani.
 
Back
Top Bottom