dhahama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mrisho com

    Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

    Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu. Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa...
  2. MIXOLOGIST

    Ni kitu gani ufanye pale unapofikwa na dhahama kwenye mapenzi (mapenzi chechefu)?

    Wasalaam wana JF Hakika maumivu ya mapenzi ni magumu sana, hayasikii pain killers, pombe, bangi, maombi na ata ushauri (nasihi). Wapo waliopoteza maisha au kupoteza muelekeo katika maisha waliyoyapoteza. Jambo hili ulione na kulisikia kwa wenzio, usiombe likukute. Pamoja na magumu na machungu...
  3. B

    Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Ukweli ni mchungu lakini tufike mahali tuuseme hata kama unauma. Mengi yamesemwa kuhusu ajali miaka nenda rudi, lakini ajali ziko pale pale. Bahati mbaya mzizi wa tatizo umekuwa hausemwi kwa kujua au kutokujua. "Tatizo letu kuu kimsingi ni ujinga ndugu zangu." 1. Kulikoni dereva kuendesha...
  4. J

    Leo nakuondolea dhahama ya jini mahaba buree

    Habarini za wakati huu ndugu zangu, moja kwa moja niende kwenye mada Kumekuwa na wimbi kubwa na mateso makali sana ya haya matakataka (majini mahaba) kutesa watu wa jinsia zote kwa muda mrefu bila msaada na kusababisha huzuni kubwa katika maisha ya wahanga hawa. Dalili zake ni nyingi sana na...
  5. N'yadikwa

    PICHA: Wadada mkiwa mnapiga deki muwe makini mnaleta dhahama

    Sasa unapiga deki umevaa kimini umekaa kihasarahasara tu ndo nini kutufanyia hivo watoto wa wenzenu...hafu beki tatu tu.
Back
Top Bottom