Tunauza maziwa ya Ng’ombe

Tunauza maziwa ya Ng’ombe

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,505
Reaction score
5,096
Habari ya leo humu, tunapenda kuwatangazia jamii kwa ujumla tunauza maziwa ya ng'ombe ambao tunakamua wenyewe.

Kwa waliopo ndani ya jiji la Daslam basi kuanzia lita tano (5) tunakuletea mpaka sehemu unapopatikana.

Maziwa haya utayapata kwa kiasi cha 2000Tsh tu, hivyo tunawakaribisha nyote
IMG-20230724-WA0009.jpg
 
Unawez kutupigia simu kupitia 0715 378899
images%20(1).jpg
 
Waweza tuma hata sms kupitia namba 0687 55 87 85 Dar
images%20(3).jpg
 
unafahamu kitu kinaitwa lactometer reading..nahitaji maziwa yasiyo chakachuliwa hata tote
 
🤣🤣🤣Mnajua kumsakama mtu aloooo
Quality ya bidhaa za vyakula ni muhimu sana Chief. Mazingira ya kuandaa hayo maziwa; usafi wa mkamuaji; vyombo; uhifadhi. Ngombe hawako kwenye dozi; nk. ni mambo muhimu ya kuzingatia.
 
Quality ya bidhaa za vyakula ni muhimu sana Chief. Mazingira ya kuandaa hayo maziwa; usafi wa mkamuaji; vyombo; uhifadhi. Ngombe hawako kwenye dozi; nk. ni mambo muhimu ya kuzingatia.
Hili Jiji kila kitu tunachokula ni hovyo tunalindwa na Mungu tu😃
 
Mfugaji akiwa na ngombe wachache ikitokea ngombe akaugua mastitis anatakiwa ayamwage maziwa maana huwa yanakuwa na dawa, ila wengi huyauza hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom