Search results

  1. T

    Mabaharia wametuangusha kwa kuuawa wakiwa kwenye mipango wa Kandi.

    Umofia kwenu wananzengo. Mwaka ndo unaishia hivyo na siku zimebaki chache sana lakini zinaweza kuwa mbaya sana kwa wapendwa wetu wengi.Vifo vya ghafla na matatizo kibao. Kwa kusema hayo niwapashe matukio yaliyojiri Huku mikoani moja ikitokea KILOLO huko IRINGA ambapo baharia mmoja...
  2. T

    Sina mtaji,nifanyeje ili kitabu changu cha kataaluma kichapwe na kiingizwe sokoni nami nipate ujira?

    Heshima zenu wakuu,JF ni kisima cha wataalamu mbalimbali.Nami kwa taaluma yangu ya ualimu niliyonayo nikapendezwa kuandika kitabu cha kitaaluma.Nipi hapa kuhitaji mwongozo wa namna gani nitaweza kufanya taratibu zote mpaka kuchapwa kitabu na kuingizwa sokoni ikizingatiwa kuwa sins mtaji was...
  3. T

    Kona ya Music system,wadau tukutane hapa.

    Umofia kwenu wakuu. Nipo hapa kusaka maarifa juu ya masuala ya music system,nimejaribu kuchimbua kila kona ili niwe na uelewa clear kabisa lakini nilichoambulia sijaridhika nacho nikaona nibishe hodi hapa maana hii kitu naimani inahitaji kujifunxa kwa wazoefu. Ndoto yangu ni kumiliki music...
  4. T

    Je,kuna ukweli na uhalali wa kisheria kwa wanaokopesha online?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la kampuni mbalimbali zinazokopesha kwa njia ya mtandao.Labda nimechelewa sana kuzisikia habari hizi maana nimeona kampuni zingine zina miaka zaidi ya 4.Mathalani kampuni kana @branch nadhani ni ya wakenya hii na @tala ambao nimesikia hawahitaji...
  5. T

    News Alert: Namna ya kuhard reset TECNO SPARK 2

    Ni wiki ya tatu sasa tangu nije hapa jukwani kuomba msaada wa namna ya kuunlock simu tajwa hapo juu baada ya kusahau pattern.Nashukuru sana wengi wenu mlijitahidi kunipa alternatives nyingi mnazozifahamu lakini kwa bahati mbaya hazijanisaidia chochite. 1.Kuendelea kudraw wrong pattern mpaka...
  6. T

    Nimelikoroga: Nilidraw pattern mpya ya simu jana usiku leo nimeisahau,nifanyeje wakuu?

    Msaada kwa hili tatizo nililolitengeneza wapendwa,nimevurugwa hapa nilipo.
  7. T

    Msaada:Tecno spark 2 haifungui pdf

    Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
  8. T

    Nabii Joshua Mbugua wa jijini Dar ashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli waumini wake

    Katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC kutoka kwa reporter SAM MAHELA, kuwa nabii huyo anayepatikana DAR anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kutapeli fedha waumini wake ambapo waumini wawili wamethibitisha hilo mmoja akitapeliwa laki 6 na mwingine laki 2 eti aliwashawishi wampelekee hela...
  9. T

    Hivi ni kweli waliozaa mtoto wakatengana kwa % kubwa watarudia mchezo?

    Hili suala mara kadhaa nimelikuta kwenye mijadala ya watu wengi tu sasa kuwa watu hao kama wakizaa mtoto au watoto na ikatokea wameachana lazima ipo siku watarudia ule mchezo pendwa hata kama mmoja wao au wote wamekwisha kuoa au kuolewa na nimenasa usemi wao wakisema eti HAO WAMETENGANA TU ILA...
  10. T

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania hamtendei haki hadhi zenu

    Leo yule RAIS wetu kipenzi cha watanzania,kiboko ya mafisadi mafisadi,chaguo la Mungu,mtaalamu wa mambo mengi kuzidi yeyote yule bongo. Leo alikuwa katika chuo kikuu cha MKWAWA kilichopo mkoani IRINGA ambapo miaka ya 1978-1979 ikiwa kama shule ya elimu ya upili wa juu ambapo huyu mheshimiwa...
  11. T

    Achukue hatua gani ili apate haki yake?

    Umofia kwenu, Kuna rafiki yangu yeye anafanya biashara ya kukopesha fedha kwa watumishi wa umma kwa marejesho ya muda mfupi isiyozidi miezi 4 akitumia mikataba fulani anayodhani ina security kwake na mteja kuacha kadi ya bank. Ishu ilivyo sasa kuna mteja wake wa muda mrefu ambaye mara ya...
  12. T

    Watumishi wa umma hasa walimu huko mkoani Iringa wazuiwa kubeba mabango ya malalamiko siku ya Mei Mosi mbele ya Rais

    Hayo yalijiri siku ya JUMATANO ya tr.25/04/2018 wilayani KILOLO kwenye kile kilichoitwa kongamano la wafanyakazi wa KILOLO ambapo kongamano hilo lilihudhuriwa na watumishi wote walio karibu na makao makuu hayo ya WILAYA na hivyo siku hiyo haikuwa siku ya kazi kwao maana hata shule ziliahirisha...
  13. T

    Mwanangu mwingine wa pili kazaliwa tena siku ya Pasaka, nipeni maneno yenu wakuu

    20/04/2014 usiku wa kuamkia siku ya pili ya Pasaka nilipata mtoto wangu wa kwanza wa kiume ambaye bila hata kupima tulijua tu atakuwa wa kiume hivyo hata jina lake tulimpa miezi kadhaa kabla ya kuzaliwa. Tena usiku wa kuamkia leo siku ya pili ya Pasaka mke kapelekwa hospitali na hivi punde...
  14. T

    Shamba la ekari 100 za pamoja linauzwa

    Lipo mkoani Iringa wilaya ya kilolo kijiji cha mkalanga ni zuri sana kwa matumizi ya kilimo cha maharage,lakini pia zuri sana kwa kupanda miti ya mbao na kizuri zaidi waweza panda hata miti ya matunda hususani parachichi bei ni laki 2 kwa kila ekari mwambie na mwenzako mara uonapo tangazo hili...
  15. T

    Shamba la ekari 100 za pamoja linauzwa

    Kichwa cha barua chahusika.Shamba lipo mkoani Iringa wilaya ya Kilolo kijiji cha Mkalanga.Shamba linafaa kulimwa miti ya mbao na hata miti ya matunda hasahasa parachichi,shamba ni pori nikimaanisha lilikuwa halitumiki kwa miaka mingi.Bei kwa kila ekari ni laki 2.Nyote mnakaribishwa au mwambie na...
  16. T

    Nchi ya Giningi ya bi Kilembwe yadhihirika machoni mwa watanzania

    Kwa wale tuliobahatika kusoma na kukielewa kitabu kinachoitwa KIVULI KINAISHI kilichoandikwa na mwandishi makini MOHAMMED SAID,mtakuwa mmekikumbuka maana mpaka sasa kinaendelea kutumika kwa A-LEVEL.Kwa faida ya wasiokijua kwa ufupi tu:- Katika kitabu hicho cha KIVULI KINAISHI kuna nchi iliyoitwa...
  17. T

    Ni wakati sasa mwafaka umefiki wa Nape kutubu madhambi yake aliyoyafanya kupitia Wizara aliyoitumikia

    Imeandikwa. Na atubuye dhambi husamehewa na hata ziwe nyekundu kama damu zitakuwa nyeupe kama theluji. Kuna nyakati binadamu hasa sisi ngozi nyeusi tunaendekeza sana kuiishi leo kwa shibe ya kuvimbiwa tusijue kesho kuvimbiwa kwetu kutatudhuru vipi. Watu wapatapo nyadhifa hujiona hawawezi...
  18. T

    Kulikoni wake za watu wanakuwa maji mara moja?

    Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya wa kubonga na wake za watu wapatao 10,wote bila hata usumbufu wa hapa na pale,walikubali kunipa mzigo ingawa sikuwachimbua.Hali hiyo ni tofauti kabisa kwa mabinti ambapo kati ya mabinti 10,hawazidi nusu hukubali kuachia mzigo ingawa ni baada ya kausumbufu ka...
  19. T

    The straight red card

    Ningekuwa H.Tuwa mngeenjoy andiko lakini sina hata robo ya uwezo wa huyo bwana, ila twende hivi. Late 2009 demu wangu alikuja kwenye working station yangu ndani ya H/Wilaya mojawapo ya Iringa region na nilienda kumpokea pale STAND KUU ya mabasi IRINGA akitokea MBEYA.Alistay for 2 weeks. Katika...
  20. T

    Nimeshitakiwa kwa kosa la kutishia maisha,wanasheria msipite hapa kimya tafadhali!

    HESHIMA NA IWE KWENU WAKUU. Miezi mitatu imepita sasa tangu watu wasiojulikana kuvamia kibanda changu cha biashara mara 2 ndani ya mwezi mmoja na kufanikiwa kuiba mali zenye thamani kubwa hali iliyopelekea nifikiri mbali sana baada ya kushirikiana na uongozi wa kijiji na kushindwa kuwapata...
Back
Top Bottom