The straight red card

The straight red card

The GT

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
461
Reaction score
532
Ningekuwa H.Tuwa mngeenjoy andiko lakini sina hata robo ya uwezo wa huyo bwana, ila twende hivi.

Late 2009 demu wangu alikuja kwenye working station yangu ndani ya H/Wilaya mojawapo ya Iringa region na nilienda kumpokea pale STAND KUU ya mabasi IRINGA akitokea MBEYA.Alistay for 2 weeks.

Katika kuhakiki uaminifu kabla hajaja nilikuwa namtext heavy sexual SMS na kumsisitiza akija nizione, alipokuja sikuiona hata 1, kumuuliza akaniambia kuna rafiki yake alifuta kwa bahati, moyoni mwangu nilishajua hii kamba na majibu nimepata sasa, time ya kurudi MBEYA tulistay for 3 days in IRINGA TOWN, ndipo hapo kadi nyekundu ilipozaliwa.

Day 1 aliniaga kwenda kumtembelea rafiki yake wa kiume aliyepo RUCO ambaye wanatoka sehemu 1 hivyo kuna maagizo ya kuchukua, ziara hiyo tangu jana yake nilimzuia akawa mbishi na akagoma nisiambatane naye.

Nilimwambia phisically you can go but mentally i don't allow you,basi akaenda na mm nikaanda kadi yake nyekundu aliporudi kwao Mbeya nikamtumia maana niligundua alienda kuchimbuliwa.
 
So alichimbuliwa kweli...?
Sehemu gani ilichimbuka...?
Vipi afya yake baada ya kuchimbuliwa..?
Muhusika aliyechimbua alitumia dhana gani...?
Muhusika aliyechimbua ulimchukulia hatua gani za kisheria...?
Una maoni au ushauri gani kwetu kuhusu kuchimbuana...?
Unahisi kuchimbuana tatizo linatokana na nini...?
Hatua gani Sasa ulitumia kutoa card nyekundu ukizingatia madame wake alichimbuliwa...?
Maandiko ya vitabu vitakatifu yamesemaje kuhusu kuchimbuana...?
 
So alichimbuliwa kweli...?
Sehemu gani ilichimbuka...?
Vipi afya yake baada ya kuchimbuliwa..?
Muhusika aliyechimbua alitumia dhana gani...?
Muhusika aliyechimbua ulimchukulia hatua gani za kisheria...?
Una maoni au ushauri gani kwetu kuhusu kuchimbuana...?
Unahisi kuchimbuana tatizo linatokana na nini...?
Hatua gani Sasa ulitumia kutoa card nyekundu ukizingatia madame wake alichimbuliwa...?
Maandiko ya vitabu vitakatifu yamesemaje kuhusu kuchimbuana...?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha! man of steel huwezi amini eti jamaa mchimbuaji mwenyewe hatujawahi hata kuonana,ila nilimwambia yule demu kuwa ili nimusamehe basi anipe namba ya jamaa ili nibonge naye nijue kilichojiri,kwa upumbavu wake akanipa namba tofauti ya mtu aliyempanga na mm machale yakanicheza kuwa hiyo ni wrong number coz alitoa kwa urahisi na mm kidume hata sikuisumbukia kuipiga ila namba ya mchimbuaji niliipata kutoka kwa classmate wangu wa O-level then nikampandia hewani mchimbuaji mwenzangu tusiefahamiana,first qn.nikamuuliza ana uhusiano gani na G? akataka kupiga chenga,nikamwambia man dont't worry,kwanza hatufahamiani na sisi ni wanaume,je unakubali kuchezewa na huyu malaya? kaja Iringa ndani ya mtu mfupi katumiliki wawili,je huko Mbeya anawamiliki wangapi? kujua hivyo mchizi akajuta sana na akasema alipigwa fix kuwa pale iringa yupo interview na kafikia nyumbani kwa rafiki yake wa kike kisha jamaa akachimbua,kujua hayo akampandia hewani na kumpa vidonge.
 
Nilijua umempa kadi leo au juzi. Kumbe tangu late 2009.

I hope ushaoa mwingine
 
So,unataka ushauri au ulikuwa unatupigisha story!
 
Mmh wadada tuna mambo hivi wanaume wawili kwa wakati mmoja unawezaje? Mbona mm sijui kuficha simu? Kwa kweli na uzee huu sijawahi kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja. Coz nawaza SMS akiingia so nitaanza kubabaika?
 
Back
Top Bottom