Sina mtaji,nifanyeje ili kitabu changu cha kataaluma kichapwe na kiingizwe sokoni nami nipate ujira?

The GT

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
463
526
Heshima zenu wakuu,JF ni kisima cha wataalamu mbalimbali.Nami kwa taaluma yangu ya ualimu niliyonayo nikapendezwa kuandika kitabu cha kitaaluma.Nipi hapa kuhitaji mwongozo wa namna gani nitaweza kufanya taratibu zote mpaka kuchapwa kitabu na kuingizwa sokoni ikizingatiwa kuwa sins mtaji was kutosheleza kumudu zoezi hilo.
HIVYO yeyote yule mwenye uelewa juu ya tasnia hii.
KWA UFUPI kuna mchapushaji na msambazaji yeyote yule mzuri ninayeweza kuingia naye mkataba?
Karibuni.
 
Hongera mkuu atafutae hachoki,Ila isiwe tu vile vitabu vya ' How to be rich ' wakata hata hela ya kuchapa huna
 
Ahsante mkuu,pamoja na kukosa mtaji abadani sina roho ya kuchuma jangwani,hakika najivunia kuwa ni MTU mmojawapo wa mchango katika suala LA elimu kwa kuandika kitu chenye msaada zaidi kwa walimu na wanafunzi,suala LA ujira lije tu pale ninapostahili,kama sistahili na nice njaa tu mkuu.
 
Heshima zenu wakuu,JF ni kisima cha wataalamu mbalimbali.Nami kwa taaluma yangu ya ualimu niliyonayo nikapendezwa kuandika kitabu cha kitaaluma.Nipi hapa kuhitaji mwongozo wa namna gani nitaweza kufanya taratibu zote mpaka kuchapwa kitabu na kuingizwa sokoni ikizingatiwa kuwa sins mtaji was kutosheleza kumudu zoezi hilo.
HIVYO yeyote yule mwenye uelewa juu ya tasnia hii.
KWA UFUPI kuna mchapushaji na msambazaji yeyote yule mzuri ninayeweza kuingia naye mkataba?
Karibuni.
Kama mwandiko wenyewe ndio huu, nina mashaka sana na hicho kitabu.
 
Back
Top Bottom