Kona ya Music system,wadau tukutane hapa.

The GT

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
463
526
Umofia kwenu wakuu.

Nipo hapa kusaka maarifa juu ya masuala ya music system,nimejaribu kuchimbua kila kona ili niwe na uelewa clear kabisa lakini nilichoambulia sijaridhika nacho nikaona nibishe hodi hapa maana hii kitu naimani inahitaji kujifunxa kwa wazoefu.

Ndoto yangu ni kumiliki music system kwa ajili ya kibiashara kwenye matukio kama harusi kwenye kumbi,hivyo mapema kabisa nataka kupata elimu juu ya kipi kinahitajika kwa ukubwa gani na brand ipi ni imara.

Kwa kifupi nimeona kunahitajika vitu kama SPIKA ZA BASS
SPIKA ZA MID
AMPLIFAYA
MIXER
Je,kuna kipi zaidi kibahitajika hapo na kwa mlinganyo upi unaofaa kwa vipimo vya ukubwa wake ili system iwe ya kiwango kizuri?
NAWASILISHA
 
Usisahau na Dj mkali lazima awepo kwenye hiyo list yako ya tools needed!
 
Full range speakers, cross over, cables(hapa zingatia sana zile zenye quality) Laptop, Wireless Microphone walau Mbili, Quality headphones, Generator,

Stabilizer(Hapa zingatia sana ukiyumba tu unachoma vifaa vyote), connectors, ni vingi sana ila hivyo ukianza navyo sio mbaya
 
Yaa hapa umemaliza, asisahau kuzingatia SPEAKERS Bora, tena Bora ni zile za Kuchonga mwenyewe unapangilia unachotaka tu.
Au kama hutaki kuchonga basi nunua za special japo Gharama

Back
Top Bottom