Lipo mkoani Iringa wilaya ya kilolo kijiji cha mkalanga ni zuri sana kwa matumizi ya kilimo cha maharage,lakini pia zuri sana kwa kupanda miti ya mbao na kizuri zaidi waweza panda hata miti ya matunda hususani parachichi bei ni laki 2 kwa kila ekari mwambie na mwenzako mara uonapo tangazo hili nyote mnakaribishwa.