Msaada:Tecno spark 2 haifungui pdf

Msaada:Tecno spark 2 haifungui pdf

The GT

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
461
Reaction score
532
Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
 
Duh,Kama ndo hivyo sio kbs,itabidi niiuze fasta sana
 
Duh,Kama ndo hivyo sio kbs,itabidi niiuze fasta sana
Simu nyingine huwa hawaja- instal PDF reader, ebu uangalie vizuri na instal Adobe Acrobat,ila kama inayo basi yaelekea kuna tatizo na si kawaida.
 
I
Simu nyingine huwa hawaja- instal PDF reader, ebu uangalie vizuri na instal Adobe Acrobat,ila kama inayo basi yaelekea kuna tatizo na si kawaida.
E bwana simu kumbe haina prob yoyote,ulichosema ni sahihi kabisa,baada ya kupata majibu ya kukatisha tamaa ya wadau hapa ikabidi nigoogle tatizo ndipo nilipogundua kuwa Kuna PDF readers kibao na Mimi Mara ya Kwanza ilikuwa inatumia chrome,ikabidi nichague PDF reader mojawapo nikaiinstal mambo yakawa mbashara.
 
Nifanyeje wakuu juu ya tatizo hili? Maana Nina Tecno WX3 hi inadownload na kufungua mafaili bila shida na wakati huo hii TECNO SPARK 2 inadownload mafile lakini haifungui.
Simu au computer yoyote huwezi kufungua mafile yenye format ya pdf, doc, docx n.k kama hakuna software yoyote itakayokuwezesha kufungua hayo mafile.
Ingia google tafuta Sumatra pdf apk, adobe reader apk au wps apk. kisha install na ufurahie.
Good luck
 
Back
Top Bottom