Kichwa cha barua chahusika.Shamba lipo mkoani Iringa wilaya ya Kilolo kijiji cha Mkalanga.Shamba linafaa kulimwa miti ya mbao na hata miti ya matunda hasahasa parachichi,shamba ni pori nikimaanisha lilikuwa halitumiki kwa miaka mingi.Bei kwa kila ekari ni laki 2.Nyote mnakaribishwa au mwambie na mwenzako.