Search results

  1. Njanga Tz

    Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  2. Njanga Tz

    CRDB wiki mbili hawajaingiza mkopo

    Toka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani. Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu. Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa...
  3. Njanga Tz

    Tujikumbushe Dr Ndumbaro na Malinzi kuhusu Ufujaji wa Pesa za TFF

    Ni ndefu mno soma kwenye red kujua mapigo yalipoanzia. Tujikumbushe 31 October 2014....Stanley Chungu,Anwar Anuary Mkama,Amini Amini Mgheni,Ramadhan Ramadhani Sendah,Lameckism Tanzania, MWANASHERIA Dk. Damas Ndumbaro, amefichua kuwa amekata rufaa kupinga adhabu ya miaka 7 aliyopewa na Kamati ya...
  4. Njanga Tz

    Utajiri kutoka JamiiForums

    Toka niwe member hapa sijawahi fikiria siku moja nitakuja kukutana na mawazo mbadala ya kubadilisha status ya uchumi wangu hapa. Nilikuwa shabiki namba moja wa jukwaa la SIASA,kimsingi sio dhambi kushabikia jukwaa hilo lakini dhambi ni pale unaposhabikia halaf huingizi kitu. Kuna siku moja...
  5. Njanga Tz

    Suleiman Jaffo kumrithi John Pombe Magufuli 2025

    Naibu Waziri TAMISEMI Suleiman Jaffo (MB) kumrithi Magufuli JP 2025, hii ni ndoto niliyeota Jana tarehe 6/1/2017. Mwenyekiti CCM JF.
  6. Njanga Tz

    Mtoto atoroshwa ndani ya kikapu Muhimbili

    Jamani leo nimeumia sana ndani ya moyo wangu, kwa hili tuweke siasa pembeni kwanza. Ni hivi: Leo majira ya jioni mimi na ndugu zangu tulienda hospitali ya Muhimbili kumuona mgonjwa, saa ya kuondoka tukapanda daladala ya Buguruni. Kwakuwa watu walikua ni wengi na daladala imeshajaa akaja mama...
  7. Njanga Tz

    Usaliti wa Maalim Seif Wamtesa

    Mwenyekiti CCM JF
  8. Njanga Tz

    UKAWA WAUFYATA MAPEMA

    Katika awamu zote, awamu hii ni kipindi kigumu sana kwa Wapinzani na UKAWA.Ukitaka kujua wapinzani siku zote hawako 'Creative' na hawana mbadala wa sera na hoja zao ni nyakati hizi za Magufuli. UKAWA sera yao kubwa sahizi ni Magufuli, unashangaa wanashindwa hata kufanya maendeleo majimboni mwao...
  9. Njanga Tz

    Why President Magufuli invited King Mohamed VI of Morocco?

    Naandika kwa kiswahili.... Katika mikakati ambayo Mh. Magufuli anaifanya kwa uhodari mkubwa na umakini ni hili la kufikia nchi yenye viwanda, hapa inabidi tumpe heko na pongezi kubwa sana. Hili kwake halifanyi kisiasa kama upande wa pili wanaotaka mwaka huu mmoja waone viwanda vimeota kama uyoga...
  10. Njanga Tz

    Inauma; Tujikumbushe mafuriko

    Inauma sana haitakuja kutokea tena. Mwenyekiti CCM JF
  11. Njanga Tz

    Rais Magufuli Unawatesa Wenzio

    Kwa hali jinsi ilivyo sasa inathibitisha kuwa Mh Magufuli ni gwiji wa siasa na mchapakazi hodari haswa kwa mbinu zake za uongozi alizozianzisha,Hakika zimeanza kukuna watu wengi sana Afrika na Dunia kwa ujumla. Wapinzani sasa hawana pakushika,hawana hoja wala maneno yakusema sababu kubwa ni...
  12. Njanga Tz

    Radio one na Lowasa

    Matangazo ya BBC yalikatishwa na Radio one wakati Lowasa alipokua akiongelea kuhusu Udikteta na kuingiziwa wimbo wa Raymond wa wasafi. Ila wale waliokuwa wanasikiliza kwa kupitia frequence za BBC 103.3 kwa hapa Dar na redio zingne watakua wamesikia. My take; mmeshaanza kupotezewa na uzushi wenu...
  13. Njanga Tz

    Wakurugenzi wa Manispaa, Miji na Halmashuri waapishwa TAMISEMI Mjini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene akiwapongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi baada ya Wakurugenzi wa Manispaa, miji na Halmashauri baada ya kiapo mjini Dodoma Septemba 13 2016. Baadhi ya wakurugenzi wa...
  14. Njanga Tz

    CHADEMA kugeuka jiwe la chumvi 1 Sept

    LUTU na jamaa yake walikaa Kanaani pamoja na Ibrahimu. Siku moja Ibrahimu alimwambia Lutu hivi: ‘Hapa hapana nchi ya kufaa wanyama wetu wote. Tafadhali, tutengane. Ukienda huku, na mimi nitakwenda kule.’ Lutu akaitazama nchi. Akaona sehemu ya nchi iliyo nzuri sana yenye maji na majani mazuri...
  15. Njanga Tz

    Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

    Huyu ni mtu mbaya sana ata kama ni uhuru wa vyombo vya habari hii ni too much. Hiyo katuni alikua anamaanisha nini!! si ni matusi kabisa haya. Huwezi fanya uhuni kwenye gazeti kubwa kama mwananchi tena kwa kutaka kufupisha kitu ili liwe tusi na jina la Rais likiwemo hapo hapo. Huyu mtu ni jipu...
  16. Njanga Tz

    Tozo ya mihamala ya fedha kwa simu imekuwa kubwa mno

    Serikali iwaonee huruma wananchi hizi tozo mpya za kutuma na kupokea pesa ni maumivu sana. Tigo pesa ukitoa laki moja wanakata 3500/= dah nmesikia uchungu sana nimewapigia had tigo nikajua nmeibiwa nimeambiwa kuanzia jana tar2/8 wameanza hyo shughuli ya viwango vipya vya makato. Kwa kweli...
  17. Njanga Tz

    Bila CCM Nchi hii ingekuwa mbali sana

    Nadeclare interest kabisa mimi ni mwana ccm nina kadi ya chama iliyo hai kabisa kwamaana nailipia vizur. Pia katika mchakato wa mwaka jana nilimuunga mkono Lowasa kupeperusha bendera ya CCM katika kuwania uraisi kitu ninachojutia kabisa toka moyoni mwangu mpaka hii leo. Kuna watu wanasema...
  18. Njanga Tz

    Bishop Gwajima hajafunuliwa lolote kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar

    Habari wanabodi. Kwakua sisi wakristo tunaamini Mungu huwafunulia watumishi wake mambo makubwa na ya sirini 'especially' wapakwa mafuta wake maalumu kama Bishop Gwajima. Nataka kujua Je katika siku za usoni bishop hajapewa neno lolote toka kwa Mungu juu ya uchuguzi wa Zanzibar? (Niko...
  19. Njanga Tz

    Mgomo Kariakoo, maduka yafungwa

    Wafanyabiashara asubuhi hii kariakoo wamefunga maduka yao. Ni mgomo unaohusu mashine za EFD. Update baadae
  20. Njanga Tz

    Sanamu ya Kaptein Komba ndani ya Lumumba

    Leo ni mwaka toka alipotutoka muhamasishaji mkongwe na mkubwa ndani ya CCM na Tanzania kwa ujumla.Ilikua siku kama ya leo tar 28.2.2015 sa kumi jioni. Kwa kazi kubwa aliyofanya huyu legendary naishauri Lumumba kwa mara ya kwanza wa weke sanamu ya Kaptein Komba pale ofisi ndogo za Lumumba au kuu...
Back
Top Bottom