Sanamu ya Kaptein Komba ndani ya Lumumba

Njanga Tz

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
843
654
Leo ni mwaka toka alipotutoka muhamasishaji mkongwe na mkubwa ndani ya CCM na Tanzania kwa ujumla.Ilikua siku kama ya leo tar 28.2.2015 sa kumi jioni.
Kwa kazi kubwa aliyofanya huyu legendary naishauri Lumumba kwa mara ya kwanza wa weke sanamu ya Kaptein Komba pale ofisi ndogo za Lumumba au kuu pale Dodoma kama ishara ya kumuenzi Mzee wetu.RIP Captain Komba
 
Watu wengine mpaka mnatia huruma. Fanyeni kazi. Siku hizi deals za siasa hazilipi. Mtakufa njaa mjini.
 
Kama hamkumsaidia alipo kuwa anadaiwa na
bank mpaka presaure ikawa juu kabisa mtaweza muenzi hivo kweli.....

Hy alikuwa na heshima akiwa mzima sasa hivi kwisha....
 
Wewe hata kuchora picha ya Mama yako huwezi... Unataka sanamu la Komba... Jiangalie kwenye kioo mara mbili...
 
Kama mawazo ndio haya,basi Lumumba kushnei.Badala ya kufikiria mambo ya maana ya maendeleo kwa ajili ya wananchi wetu mnafikiria masanamu.Komba kafanya lipi la maana,kukiabisha chama kwa michepuko.
Leo ni mwaka toka alipotutoka muhamasishaji mkongwe na mkubwa ndani ya CCM na Tanzania kwa ujumla.Ilikua siku kama ya leo tar 28.2.2015 sa kumi jioni.
Kwa kazi kubwa aliyofanya huyu legendary naishauri Lumumba kwa mara ya kwanza wa weke sanamu ya Kaptein Komba pale ofisi ndogo za Lumumba au kuu pale Dodoma kama ishara ya kumuenzi Mzee wetu.RIP Captain Komba[/QUOT
 
Hutasikika wala kusomeka kwani wenyeji wa Lumumba wako busy na figisufigisu za kinyang'anyiro cha umeya wa Dar es salaam. Mara mahakamani, mara kwa Simbachawene. Hayo ya sanamu la Komba unayajua wewe.
 
Basi babu Lowassa alikuwa na bahati mbaya. Yaani huyu angekuwepo idadi ya Kura zingeongezeka sana Ukawa.
 
Back
Top Bottom