Suleiman Jaffo kumrithi John Pombe Magufuli 2025

Njanga Tz

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
843
655
Naibu Waziri TAMISEMI Suleiman Jaffo (MB) kumrithi Magufuli JP 2025, hii ni ndoto niliyeota Jana tarehe 6/1/2017.

Mwenyekiti CCM JF.
 
Naibu Waziri TAMISEMI Suleiman Jaffo (MB) kumrithi Magufuli JP 2025, hii ni ndoto niliyeota Jana tarehe 6/1/2017.

Mwenyekiti CCM JF.
Wew unatakiwa utiwe ndani kama lema kwa kuota ndoto za ajabu ajabu
 
Kweli unaota maana mtukufu hatoki tena pale kwenye urais km mugabe au kagame!tuombeni uhai tu n uzima inshaallah
 
hahaaa! ni huyu aliyekua anasema ajira za walimu 40000 na baadae zika shushwa hadi 4000 au jafo yupi mleta uzi unae mzungumzia??
 
Naibu Waziri TAMISEMI Suleiman Jaffo (MB) kumrithi Magufuli JP 2025, hii ni ndoto niliyeota Jana tarehe 6/1/2017.

Mwenyekiti CCM JF.

Una matatizo ya ubongo na mwili mzima..!!

Go ASAP, to get medical treatment, ukiendelea hivyo, ndani ya mwezi mmoja utakuwa uchi njiani ukibeba makopo na kula dampo..!!
 
Weye, ndoto zimekatazwa! Kwani weye ulalaji wako umekuwaje siku hizi? Na kama unaota, jitahidi kuota ndoto nzurinzuri ili usifungiwe kabatini.
 
Back
Top Bottom