Search results

  1. Aigoo

    Nahitaji ufafanuzi mabaharia wenzangu

    Habari wanaJF Mimi kama baharia mzoefu nasikitika sana nimeshindwa kuelewa hili swala kwa upana.. kumejitokeza wimbi la wadada huko Instagram wakidai kutafuta wenza, wachumba wa kuishi nao wengi na wao wakitokea huko udayasporani. Wachache wako Tanzania na wanajinadi kuwa na hali nzuri kifedha...
  2. Aigoo

    Msanii Darasa

    Yupo clouds now XXL najiulizaga maswali mengi huyu jamaa anaishi maisha gani mbona haonekani kabisa yani maisha yake hayajulikani yalivyo japo kuna tetesi alikuwa anavuta unga lakini now anasikika poa sana na anaoenekana yuko poa ktk maongezi yake Kuitwa msanii lazima udeal na media au na...
  3. Aigoo

    Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

    Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi.. Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema...
  4. Aigoo

    Nawasalimia wasichana

    _*Nawasalimia [emoji68]WASICHANA [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_ _*Nawasalimia WASICHANA weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_ _*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO...
  5. Aigoo

    Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

    Mimi kama mwanaume tena mwenye uthubutu kwa mara ya kwanza kabisa ningependa kujitokeza kutafuta new couple ndani ya jf tutakayo match nae vzuri, kigezo ni kimoja tu awe mcheshi asie na jazba mpenda kuchat. Ijapokuwa mimi si mhenga sana wa jf lkn kwa kipindi ambacho nimekuwepo humu nimekuwa...
  6. Aigoo

    Why are you single?

    Binafsi najihisi mwenye kukosa bahati. Pesa sio tatizo sana kwangu wakati mwingine najiona mimi ndo mwenye matatizo! Nimepitia mahusiano kadhaa lakini hayafikii malengo. Sijui Mungu amepanga nini juu yangu thus why niko single. Lakini mimi mwanaume bado napambana.. Je, kwanini wewe uko single?!
  7. Aigoo

    Threads za JF

    Husika na kichwa cha habar hapo juu nimekuwa nikijiuluza sana kwa nini! mada nyingi zimekuwa za kijinga jinga hasa kwenye jukwaa la MMU yani mtu anaandika thread ya kuomba ushauri mpaka msomaji unajuta kwa nini ulifungua uzi.... Nina mashaka sana kama humu kuna magreat thinker kweli... au...
  8. Aigoo

    Tafiti wanawake wengi wana ubaba ndani yao

    Katika tafiti zangu nilizochunguza wanawake wengi siku izi wana tabia za ubaba ndani yao mwisho wa siku madhara yake wanashindwa kuolewa, kulea familia, familia kukosa maadili na mengine mengi tabia za ubaba ni kama; Haki sawa Kutongoza wanaume Wataalam wa gambe Kuoa Kazi yako kazi yake Kuvaa...
  9. Aigoo

    Future Wife

    *"Father Lord, If My Future Wife Is In This Forum Please Direct Her To My pm Now"* [emoji18][emoji120] *Amen*
  10. Aigoo

    Msaada wa call barring - halotel

    Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
  11. Aigoo

    Biashara ya duka na matatizo ya akili au kisaikolojia..!

    Habari za mda huu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema je kuna uhusiano gani wa biashara ya duka na matatizo ya akili au kisaikolojia..? Katika harakati za uchunguzi wangu nimegundua kuwa asilimia fulani ya wanaouza maduka either ni mmiliki au muuzaji huwa na matatizo ya akili au...
  12. Aigoo

    Kukosa hamu ya kula

    Siku ya 4 leo kula kwangu kumekuwa kwa shida sana, hata cris mas nimeshindwa kula vizuri, hapa nilipo nina njaa ila hamu ya kula sina kabisa, karibun cku 4 zote nakula Mara 1tu nikila tumbo hujaa, kuhisi kichefuchefu na kuharisha Msaada wakuu nikapime au ninunue dawa za minyoo..?
  13. Aigoo

    Pesa au nguvu?

    katika maisha kuna utofauti mkubwa sana kati ya nguvu na pesa, japokuwa pesa ina nguvu, lakini unaweza kuwa na pesa usiwe na nguvu, unaweza kuwa na nguvu usiwe na pesa, na inawezekana pia ukamiliki vyote... Je, kuna faida gani kubwa kati ya nguvu au pesa kwenye sakata zima la Uchaguzi?
  14. Aigoo

    Nimeota mpenzi wangu anatoka kimapenzi na rafiki yangu, ufafanuzi tafadhali

    Kwa mwenye uelewa halisi wa ndoto hii tafadhari msaada nko njia panda; Mimi na mpenzi wangu tunaishi mikoa tofauti wiki 2 zilizopita mpenzi wangu aliniomba namba ya rafiki yangu wa kiume wanaeishi nae mkoa mmoja nami bila kupinga nikampatia, na rafiki yangu aliniambia alipigiwa simu na mpenzi...
  15. Aigoo

    Malizia methali ifuatayo:

    Ukiona mwanamke ana mimba...........?
  16. Aigoo

    Jiongeze

    Make me smile
  17. Aigoo

    Msaada wa free program ya kurudisha data

    Hi JF members Msaada wa program ya kuludisha data nilizofuta kwenye recycle bin au usb flash drive maana ni muhimu sana kwangu Nilihifadh data kwenye laptop mwanzo then nikaamishia kwenye flash , za kweny laptop nikafuta baada ya muda nikachukua flash ili kuangalia data zangu lkn inanicommand...
Back
Top Bottom