Nahitaji ufafanuzi mabaharia wenzangu

Nahitaji ufafanuzi mabaharia wenzangu

Aigoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
3,124
Reaction score
2,820
Habari wanaJF

Mimi kama baharia mzoefu nasikitika sana nimeshindwa kuelewa hili swala kwa upana.. kumejitokeza wimbi la wadada huko Instagram wakidai kutafuta wenza, wachumba wa kuishi nao wengi na wao wakitokea huko udayasporani.

Wachache wako Tanzania na wanajinadi kuwa na hali nzuri kifedha ... Najiuliza maswali mengi sana lakini sipati majibu . Je, hawa ni matapeli, wezi au wana agenda gani zaidi, kuna mtu amewahi wazamia hawa?.
 
Back
Top Bottom