Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,818
Siku ya 4 leo kula kwangu kumekuwa kwa shida sana, hata cris mas nimeshindwa kula vizuri, hapa nilipo nina njaa ila hamu ya kula sina kabisa, karibun cku 4 zote nakula Mara 1tu nikila tumbo hujaa, kuhisi kichefuchefu na kuharisha
Msaada wakuu nikapime au ninunue dawa za minyoo..?
Msaada wakuu nikapime au ninunue dawa za minyoo..?