Yule ukiyekuwa unaomba ushauri jinsi ya kumuacha ndo your future wife .*"Father Lord, If My Future Wife Is In This Forum Please Direct Her To My pm Now"*
*Amen*
ngoja wanakuja mkuuMmmh
Mkuu kejeli si nzuri hata kidogo watu tumetofautiana maisha, mitazamo, jinsi wewe ulivyo au uishivyo usijilinganishe na wenzako ndo mana kila mtu ana character yakemwanaume umejikalia unatafuta mwanamke mtandaoni, kuna warembo unapishana nao umefumba domo unategemea wakutongoze wewe? endelea kuziba domo utajikuta babu huna mke. wanaotakiwa kuuliza hayo maswali mtandaoni ni hao wanaotongozwa... kwa sababu wana wakati mgumu sana hawa wanawake, Mungu atusamehe sisi tulio na zaidi ya watatu wakati wenzetu wanalaumu hawana kabisa
Ngoja watakuja kushughulikiwa basiNdio it sound good, akinifuata tu pm mi namshughulikia
Ninyi wanawake mnakosea sana, kwani kujipeleka utongozwe kuna shida gani? Wanawake wengi mnakosea hapo ndo maana unakuta mwanamke ana miaka 30 halafu hana mchumba!!......Kuokoa muda ni vyema ukajipeleka ili utongozwe, unaweza ukahamua kujitongozesha pia au unamtongoza mtu moja kwa moja ili kuokoa muda na kuondoa urasimu!Kwahiyo mtu ajilete kutongozwa?...nikama vile msichana ana kuja PM please Wanguvu nitongoze....
Ili muanze kulinganisha binadamu wenzenu na maharage ya mbeya .....wanaume wengine wajinga sanaNinyi wanawake mnakosea sana, kwani kujipeleka utongozwe kuna shida gani? Wanawake wengi mnakosea hapo ndo maana unakuta mwanamke ana miaka 30 halafu hana mchumba!!......Kuokoa muda ni vyema ukajipeleka ili utongozwe, unaweza ukahamua kujitongozesha pia au unamtongoza mtu moja kwa moja ili kuokoa muda na kuondoa urasimu!
kwani sku hizi nyie si ndio mnatutongozaKwahiyo mtu ajilete kutongozwa?...nikama vile msichana ana kuja PM please Wanguvu nitongoze....
Sasa mbona mnajitingozesha? Si msubiri tuwatongoze sasakwani sku hizi nyie si ndio mnatutongoza