Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,818
Habari za mda huu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema je kuna uhusiano gani wa biashara ya duka na matatizo ya akili au kisaikolojia..?
Katika harakati za uchunguzi wangu nimegundua kuwa asilimia fulani ya wanaouza maduka either ni mmiliki au muuzaji huwa na matatizo ya akili au kisaikolojia yaani wanakuwa hawapo sawa ( baadhi lakini) kama mazoba hivi, wapo wapo tu.
Je ni sababu gani inasababisha wanakuwa hivi maana kuna wakati natamni niwe na kibanda changu nikifikilia hivi na give up.