Msaada wa call barring - halotel

Aigoo

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
3,124
2,818
Nataka kuweka call barring for all incoming call na sms lkn nimeshindwa nimewacheki watoa huduma halotel wanazingua tu je code ni zipi kwa wenye maujuzi haya
 
Mmmh! Hii ngumu kumesa kwakweli..... Wajuvi mkuje mumsaidie huyu jamaa...
 
Back
Top Bottom