Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,820
Katika tafiti zangu nilizochunguza wanawake wengi siku izi wana tabia za ubaba ndani yao mwisho wa siku madhara yake wanashindwa kuolewa, kulea familia, familia kukosa maadili na mengine mengi tabia za ubaba ni kama;
Haki sawa
Kutongoza wanaume
Wataalam wa gambe
Kuoa
Kazi yako kazi yake
Kuvaa suruali
Ongezea na wewe za kwako badilisha.
Haki sawa
Kutongoza wanaume
Wataalam wa gambe
Kuoa
Kazi yako kazi yake
Kuvaa suruali
Ongezea na wewe za kwako badilisha.