Mpenzi wangu ameanza kunywa pombe

Aigoo

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
3,124
2,814
Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..

Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.

Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad.

Mara ya 3 ndo leo nimetoka zangu job nafika tu home mtoto ananipigia simu kalewa yuko njwaaaa..! hata kuongea anashindwa kumuuliza nini anasema kapiga chupa 2 za bia na amelewa balaa nikamuuliza kwa nini umekunywa akasema ana mawazo ya maisha.. na mi navyojua mambo yake yanaenda sawa kabisa binafsi mimi ni mlokole na nilishamwambia sipendi hiyo tabia ya kunywa yani mpaka hapa nishaanza kumchukia kabisa..toka mara ya pili..

Ushauri tafadhali wanaume wenzangu...! i wish to leave her serious.
 
Mimi ni mwanamume niko mbali na mpenzi wangu kidogo sababu ya kikazi pia na ye anakazi yake nimeshtushwa na tabia ya mpenzi wangu ya kuanza kunywa pombe (beer) gafla sana hata sielewi..

Mara ya kwanza alikunywa nusu chupa akanambia alikuwa anatest tu radha kumuuliza nani kakupa akasema mfanyakazi mwenzake basi mi sikusema kitu zaidi ya kumuuliza tu unajisikiaje.
Mara ya pili alikunywa chupa 1 tu aisee sikupenda kabisa na nilimwambia mtu anae kunywa pombe ananipa sababu nianze kumchukia mana sitamwamini tena mbaya zaidi nilitumiwa na video kabisa akigonga chupa kumuuliza kwa nini umekunywa akasema amelazimishwa na bosi wake so sad

Jua tu kua hakuna mwanamke mlevi mwenye bwana mmoja
 
Dialectical materialism...
 
Hayaaa..mi nikupe moyo

We ni mlokole umesema.
Mpeleke kwa kiongozi wako wa dini

Usimuache sababu ndo ataongeza vyombo kuwa karibu nae.
Mtajie vifungu vya bibilia asome

Au kama vip mwache tuu mbona wako wengi tuu siku izi.
Wahenga walisema bora kung'oa kuliko kukaa na jino bovu ingawa siku izi tunaziba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom