Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,123
- 2,820
Hi JF members
Msaada wa program ya kuludisha data nilizofuta kwenye recycle bin au usb flash drive maana ni muhimu sana kwangu
Nilihifadh data kwenye laptop mwanzo then nikaamishia kwenye flash , za kweny laptop nikafuta baada ya muda nikachukua flash ili kuangalia data zangu lkn inanicommand kuformat but sijaformat nikatafuta program za kurecover my data nikapata kama 2 hivi baada kutumia zinataka nilipie ndo nipate data zangu so nimeshindwa kwa sababu pesa ni kubwa afu data zilizofanikiwa kuwa recovered ni chache
Plz wataalam wa mambo hayo ipi ni free program ya kurecover my data from usb flash or recycle bin