Search results

  1. 101 East

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  2. 101 East

    Tusubiri kuona mwenezi mpya wa chama akimfokea mkuu wa mkoa mpya wa Arusha

    Politics: Yeye alikuwa mwenezi na aliwafokea mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na watendaji wa Serikali, tusubiri mwenezi ajaye aje kumfokea na yeye 🤣🤣
  3. 101 East

    Unaikumbuka miradi aliyoisimamia Lowassa akiwa Waziri Mkuu?

    Katika mradi ambao LOWASSA alishiriki kuusimamia kikamilifu kama waziri mkuu wa Tanzania kipindi cha serikali ya awamu ya nne ni: 1. Ujenzi shule za kata 2. REA - Umeme vijijini 3. Uchimbaji visima vijijini 4. Upungufu wa umeme nchini (mgao) 5. Ufugaji wa ranch Tuongezee mengine RIP legend
  4. 101 East

    Lushoto: Wazee wakausha maji kwa tambiko

    Wazee wa Kata ya Kwekanga Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wamezuia chanzo cha maji kutokutoa maji hadi kufanyike tambiko mara baadaya ya Mkandarasi kwenda kuanza mradi bila kuwashirikisha Wazee hao. Akielezea sakata hilo Meneja wa Mamlaka ya Maji (RUWASA) Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Mhandisi...
  5. 101 East

    Happy birthday prof. Janabi

    Leo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI LONG LIVE MZEE you really helped our country and society Tunakupenda Sana professor Janabi Happy birthday [emoji512][emoji324][emoji512] hope...
  6. 101 East

    Dhana Potofu ya kuongeza Maumbile

    SOMA KWA UMAKINI Kuna kitu kinaitwa cellular adaptation. Ukijua hii huwezi kununua dawa za kuongeza uume au matako. Iko hivi cells za mwili wa binadamu ukiziweka kwenye stress iwe ya muda mrefu au mfupi zinafanya adaptation. Na hizi adaptation ziko kama ifuatavyo:- 1. Hypertrophy Hapa cells...
  7. 101 East

    Mkuu wa mkoa awataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na ndoa za miaka mitatu

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amewataka Wanafunzi wa Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Iringa kuacha tabia ya kuanzisha ndoa zinazodumu miaka mitatu ya masomo yao na pindi wanapomaliza masomo ndoa hizo huishia hapo jambo ambalo linapelekea Wanashuka hao kushuka kitaaluma. Dendego...
  8. 101 East

    Trump aondolewa kugombea uraisi 2024 nchini marekani

    Wanachama na Wafuasi wa Chama cha Republican Nchini Marekani wamelalamikia uamuzi wa uliotolewa na Mahakama Kuu ya Colorado wa kuondoa jina la Rais wa zamani wa Nchi hiyo Donald Trump katika karatasi ya kura ya uchaguzi wa awali wa Republican unaotarajia kufanyika mwakani 2024 Mahakama hiyo...
  9. 101 East

    Vatican yathibitisha marufuku ya Wakatoliki kuwa Freemasons

    Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons. Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kutangamana au hayapatani. Barua hiyo iliyotolewa na ofisi ya...
  10. 101 East

    Serikali kuweka nguvu kiwanda cha kutengeneza ndege Morogoro

    Wizara ya Uchukuzi imesema inategema kukutana na Wizara ya Fedha ili kuweka utaratibu wa kusaidia sekta ya anga hasa kwa kampuni zinazounganisha na kutengeneza ndege nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyrara ameyasema hayo baada ya kutembelea Kampuni ya Airplane Africa...
  11. 101 East

    Tujikumbushe matukio ya kijinga tuliyofanya shuleni

    Mimi nakumbuka hapa niliwahi kupeleka mzazi feki shule halafu akanipiga kofi.[emoji23][emoji23] Nilishapigana na Mwalimu tukigombania bint mmoja hivi cheupe wee alinimaindi mpaka namaliza shule[emoji1787][emoji1787] Weka kituko chako hapa.
  12. 101 East

    Je, umewahi kulipa fadhila? (virtue, favor)

    Naandika Huu Uzi nikiwa na hisia nzito Sana Kwa maana ya harakati za kimaisha.ni ukweli usio pingika kuwa kila mbuyu ulianza kama Mchicha Ila unapofika Hali ya kuwa kama mbuyu yaani namaanisha umeshakua vizuri kiuchumi,umetoboa au umeyapatia hapa kuna tatizo Huwa linaanza kujitokeza. Tatizo...
  13. 101 East

    Kiwango cha uzazi dar chapungua

    Moja kati ya taarifa kubwa kuanzia Wiki iliyopita hadi Wiki hii ni taarifa ya uzazi na visababishi vyake kutoka kwenye Ripoti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya 2022 iliyozinduliwa hivi karibuni na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ripoti hiyo inaonesha kuwa utafiri...
  14. 101 East

    Mwendokasi Jangwani hakupitikiti, kupitia barabara ya Kawawa mpaka mpaka hali itakapotengemaa

    TAARIFA KWA UMMA Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unawaarifu abiria wetu wa usafıiri wa Mabasi Yaendayo Haraka maarufu Mwendokasi, kuwa leo Novemba 5, 2023 Saa 6:30 Mchana, barabara ya Morogoro eneo la Jangwani imefungwa. Changamoto hii inasabishwa na Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar...
  15. 101 East

    Vishandu wanusurika kufa

    #HABARI Vijana wawili ambao ni wezi wa simu kwa kutumia pikipiki maarufu kama 'Vishandu' ambao majina yao hayajajulikana mara moja wamenusurika kuuawa na wananchi katika eneo la Barabara ya Lenana Kilimani Nairobi nchini Kenya baada ya kukwapua simu kutoka kwa mwanamke mmoja na kushindwa...
  16. 101 East

    Elimu za viongozi nchi zenye uchumi mkubwa duniani

    Kwenye hii list masters zipo chache mno wengi Wana degree moja Tu World Leaders Qualification [emoji631] Joe Biden: Bachelor's in History & Political Science [emoji2406] Yoon Suk-Yeol: Masters Law [emoji635] Vladimir Putin: Law [emoji1128] Narendra Modi: Masters Political Science [emoji1191]...
  17. 101 East

    Ufaransa kurudisha Bilioni 371 Nigeria

    Serikali ya Ufaransa imetangaza kurudisha dola milioni 150 [TZS bilioni 371.6] mali iliyoibwa kutoka kwa Wanigeria na aliyekuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Hayati Jenerali Sani Abacha pamoja na familia yake. Tangu kifo cha Abacha, ambaye alihudumu kama kiongozi wa kijeshi kuanzia mwaka...
  18. 101 East

    Aina mbili za watu Katika maisha

    Duniani kuna aina mbili za watu Aina ya kwanza ni ya watu walio Amua kufanikiwa; Aina ya pili ni ya watu walioamua kuwasindikiza watu walioamua kufanikiwa; Sifa za watu walioamua kufanikiwa..... ¹】Wana malengo ya muda mrefu na muda mfupi yalioandikwa ²】Wame tengeneza mipango itakayo wawezesha...
  19. 101 East

    Wakamatwa kwa kosa la kuficha magunia 26 ya bangi kanisani

    Kenya. Wanaume wawili wamekamatwa na jeshi la Polisi nchini Kenya kwa kosa la kuficha magunia 26 ya dawa za kulevya aina ya bangi ndani ya kanisa. Tovuti ya Taifa Leo ya nchini humo imesema mbali na magunia hayo ya bangi watuhumiwa pia wamekutwa na nyama ya mbuzi pamoja na vifaa vya...
  20. 101 East

    Ligi Bora za mpira wa miguu barani Afrika

    Africa's Best Football Leagues 1. Egypt [emoji1093] 2. Morocco [emoji1173] 3. Algeria [emoji1026] 4. South Africa [emoji1221] 5. Tunisia [emoji1249] 6. Tanzania [emoji1241] 7. Angola [emoji1029], DR Congo [emoji1078] 9. Sudan [emoji1232] 10. Libya [emoji1149] 11. Cote d'Ivoire...
Back
Top Bottom