Aina mbili za watu Katika maisha

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Duniani kuna aina mbili za watu Aina ya kwanza ni ya watu walio Amua kufanikiwa;
Aina ya pili ni ya watu walioamua kuwasindikiza watu walioamua kufanikiwa;
Sifa za watu walioamua kufanikiwa.....
¹】Wana malengo ya muda mrefu na muda mfupi yalioandikwa
²】Wame tengeneza mipango itakayo wawezesha kutimiza malengo yao
3】Hawaishi kwa kuangalia leo, Wanaishi kwa kuangalia leo na kesho yao
4】Si wepesi wa kukata au kukatishwa tamaa
5】Wanafanya maamuzi magumu na makini kwa mustakabali wa maisha yao
6】Asilimia kubwa ya muda wao wanatumia kufanya mambo yanayo jenga
7】Wanaambatana na watu chanya
8】Wanapenda kujifunza mambo mapya
9】Wanafanya kazi kwa bidii [wanajituma]
10】Hawafuati mkumbo wa wengi [sio bendera fuata Upepo)]
Kama kuna sifa ambazo hauna katika sifa hizo 10 Ujue kukosa hizo sifa ni kikwazo cha wewe kufanikiwa.....

Imeandikwa na ~#miriamodemba~
 
Kuna aina ya tatu ya watu wanaotaka kufanikiwa ila hawafanikiwi pamoja na juhudi zao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom