101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,259
Serikali ya Ufaransa imetangaza kurudisha dola milioni 150 [TZS bilioni 371.6] mali iliyoibwa kutoka kwa Wanigeria na aliyekuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Hayati Jenerali Sani Abacha pamoja na familia yake.
Tangu kifo cha Abacha, ambaye alihudumu kama kiongozi wa kijeshi kuanzia mwaka 1993 hadi 1998, taifa hilo limefanikiwa kurudisha mamilioni ya dola yaliyohifadhiwa nje ya nchi.
Tangu kifo cha Abacha, ambaye alihudumu kama kiongozi wa kijeshi kuanzia mwaka 1993 hadi 1998, taifa hilo limefanikiwa kurudisha mamilioni ya dola yaliyohifadhiwa nje ya nchi.