Unaikumbuka miradi aliyoisimamia Lowassa akiwa Waziri Mkuu?

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Katika mradi ambao LOWASSA alishiriki kuusimamia kikamilifu kama waziri mkuu wa Tanzania kipindi cha serikali ya awamu ya nne ni:

1. Ujenzi shule za kata
2. REA - Umeme vijijini
3. Uchimbaji visima vijijini
4. Upungufu wa umeme nchini (mgao)
5. Ufugaji wa ranch

Tuongezee mengine

RIP legend
 
Back
Top Bottom